Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
Mimi niliandaliwa kabisa mtoto wa mjomba, nikimaliza shule nije nikaoe, mamaliza degree yangu kenyewe ndo kanamaliza darasa la 7. Nilifika nyimbani kakawa kanajiweka karibu na mimi, nilikapotezea, siku hizi kananiambia eti mimi nilikiwa mjinga sana kwa vile eti kalikuwa kananiletea maku mimi nikawa sijitambui. Hivi karibuni imebidi nimbamize, akafurahi sana, sasa anataka kizoea ma mimi nimeshahamisha majeshi. i.e. nimesha retreat!!!kabila zingine binamu wanaoa kabisa/
binamu kinyama cha hamu/ waarabu na wapemba kama FaizaFoxy wanaoana tu./
Kwa manenoengine ni kwamba binti ameshamuona kama na yeye ni mwnzake!!!!Kama mnaazimana vipodozi japo umejitetea ni mafuta ameshakuona huna madhara kwake a.k.a nyuki wa mashineni kwa upande wangu nimegundua wewe ni mwanaume wa....any way maisha ndivyo yalivyo
Aaaaaa!!wakuu mnistahi kidogo jamani..Kwa manenoengine ni kwamba binti ameshamuona kama na yeye ni mwnzake!!!!
Mjomba ni Mama yako, kama kumla umle kwa tamaa zako! Usisafirie utelezi waliotelezea wengine Mkuu!Mtoto wa mjomba sio ndugu hata kidogo. Ila shinda vishawishi..
Ndugu zangu wanajamvi,,kwanza naomba niulize,mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu,,mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,ila sasahivi chuchu konzi,,msambwana umenawili,,kwahiyo ameanza kubadilika,muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu,,,muda mwingine anavaa kanga moko tu,,au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza,,nimle?au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..

KOO MBILI TOFAUTI HIZO, WEWE KANYAGA TU......HOPEFULLY, KUNA ULICHOFANYA NA HAPA WATAFUTA UHALALINdugu zangu wanajamvi,,kwanza naomba niulize,mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu,,mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,ila sasahivi chuchu konzi,,msambwana umenawili,,kwahiyo ameanza kubadilika,muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu,,,muda mwingine anavaa kanga moko tu,,au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza,,nimle?au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
ha ha ha ha ha ah ah wewe ni MWEHU duh.Huyo ni ndugu yako kabisa achanae kabisa ikijulikana italeta shida kwenye familia hebu kwanza nipatie namba yake na yeye nimkanye
Ndugu zako wa kweli ni wa upande wa Mama, baba yaweza kuwa alibambikiwa tu kisicho chakeKOO MBILI TOFAUTI HIZO, WEWE KANYAGA TU......HOPEFULLY, KUNA ULICHOFANYA NA HAPA WATAFUTA UHALALI
Kumbe Adam alikosea kwa Hawa?Ikimbie zinaa kama kijana Daudi kwa yule mke wa mfalme, ila mawazo yako yamuone kama dada au mama yako...ukimchukulia hivi hutoweza kunyanyua mshipa wako.... Usile ni haramu kwako...huwezi jua nawe generation yako usiinajisi
Mpotezee ni hormonal changes zinamsumbua, hajielewi.
Ndugu zangu wanajamvi,,kwanza naomba niulize,mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu,,mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,ila sasahivi chuchu konzi,,msambwana umenawili,,kwahiyo ameanza kubadilika,muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu,,,muda mwingine anavaa kanga moko tu,,au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza,,nimle?au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
Acha kuchelewa Wewe tafuna kitu hiyo maisha yaendelee.
Hata uwe unapenda vipi ukiona mwanaume anakutolea nje unachoka.Sasa si bora amwambie ukweli kuwa hiyo ni wrong number. Halafu humo ndani huwa hatoki?