dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 695
ha ha ha ha ha ha ha ha,utupe feedback mkuu kama binti kapokea maonyo yako ha ha ha haKabisa mkuu mleta mada namuomba awe na imani tu na mie na hayo majaribu yatakwisha bado nasubiria namba ya simu
MuongoMtazaa tahaira, kaa mbali naye! Laana inakunyemelea
marekebisho ni kijana Yusuph kwa mke wa Potifa wala si Daudi mkuu.Ikimbie zinaa kama kijana Daudi kwa yule mke wa mfalme, ila mawazo yako yamuone kama dada au mama yako...ukimchukulia hivi hutoweza kunyanyua mshipa wako.... Usile ni haramu kwako...huwezi jua nawe generation yako usiinajisi
Bado nasubiria namba mkuu Jiraniyetu bado hajanitumiaha ha ha ha ha ha ha ha,utupe feedback mkuu kama binti kapokea maonyo yako ha ha ha ha
Kama nilisema namkanya tu mambo ya kukulana mzigo hapanakazi kweli kweli unamkanya au unataka kula mzigo mkuu
Mmmm!!!Baaada ya kudhaaaambika weeee ndo unakuja kuongeza zambi ya uobgo.
Huyo ni ndugu yako kabisa achanae kabisa ikijulikana italeta shida kwenye familia hebu kwanza nipatie namba yake na yeye nimkanye
Aisee, watu mnajali kweli.Huyo ni ndugu yako kabisa achanae kabisa ikijulikana italeta shida kwenye familia hebu kwanza nipatie namba yake na yeye nimkanye
Naunga mkono hojaacha ufara piga mbupu ....mbona unakua boya kijanaa...
Mkwala huoMtazaa tahaira, kaa mbali naye! Laana inakunyemelea