Dada yangu ananitaka kimapenzi

Achana nae yuko kwenye joto hivyoo
 
acha ufara piga mbupu ....mbona unakua boya kijanaa...
 
Wanasema huna cha kurithi kwa mjomba sasa huo ndio urithi pekee kutoka kwake...kula tu
 
dhambi inashawishi...mambo yakibuma utabaki pekeyako kujibia
 
Ukisema umle inaweza ikatokea ukampa uja uzito halafu ikaja kuleta shida baadae kwa huyo mtoto atakayezaliwa.Wazee wa zamani walikua wakikataza kitu kunakua na maana yake mfano;kuna magonjwa yanayokuwepo kwenye ukoo wenu kama sickle cell,albinism n.k.Ukisema ufanye nae uzinzi na akapata ujauzito na akazaa magonjwa kama niliyotolea mfano hapo juu huweza kujidhihirisha kwa urahisi kwa mtoto.Nakusihi uwe unampa ushauri ili apite salama kwenye kipindi hicho kigumu katika ukuaji.Rejea sifa za mtu anayevunja ungo/balehe bilashaka hutapata tabu kujua kwanini anafanya vitimbwi hivyo.
 
Kama kuna dhambi na laana kubwa.. ni kuzini na ndugu yako. Pls usitumbukie katika huo mtego. Huyo ndio amepevuka ndio maana anasumbua. We mkwepe.. ikiwezekana mripoti kwa mzazi wake kuhusu hiyo tabia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…