Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Kwani CCM nayo inaanza kuwa chama cha wachaga/kaskazini..??? Nape Nnauye, imekuwaje nanyi kupokea wachaga..??? Unayakumbuka maneno yako kuhusu CDM na wachaga..???Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Mamndenyichama usishangae siku ukakuta @Dr slaa yuko kwenye payroll
huko kwenye jumba la magogoni;
Kama bado ana kadi ya ccm unategemea nini
eti ameitunza ili iwe kumbukumbu; hii inakuingia akilini kweli?
plagiarism!! mtaje aliyesema hiyo kauli by Mch MsigwaDada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
kweli chadema hakuna viongozi yani chadema nzima waliona mbowe ndiyo anafaa kweli?,halafu mda wote ameangalia pande kwani ananini.
Safi sana, sasa anasubiriwa mbowe mwenyewe
Walioanzisha CHADEMA ni Magavana wa Benki Kuu ya Tanzania:-
1:Hayati Mzee Bob Makani- Msukuma wa Shinyanga wa imani ya Kiislamu.
2:Mh.Edwin Mtei-Mchaga wa Kilimanjaro wa imani ya kikristo.
Hatuwezi kusema ccm ni ya ukoo wa Mh.Kikwete japo ccm imejaa watu wa familia yake ambao kwa uchache ni Jakaya Kikwete,Salma Kikwete,Ridhiwan Kiwete wote hao wako Nec ya ccm.Wengine ni Kawambwa,Miraji Kikwete,Bernad mtoto wa nje n.k
kama chadema ni ya ukoo wa Mbowe huyo mama Grace asingetoka.Hata hivyo maneno ya magazeti ya uhuru na Habari leo ya ccm si zakuamini moja kwa moja.Ccm wana lipi la kumvutia mtu ili akipende? Walioko ndani ya ccm ni sababu ya posho zilizoko nje nje ml.800 kila mwezi
Na hata Wassira aliposhindwa kushawishi mabinti zake wawili haikuonekana kuwa tatizo maana hakukosa ushawishi kwenye level ya kifamilia
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.
Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.
soon vijana wengi watajitambua pia
Mbowe ni jina la ukoo kama ilivyo Mushi,Kimaro,Tarimo,Kereti,Mrema n.k.
Kutakuwa kuna fungu la mgao kapigwa panga xaxa kaona "inatosha" kama vipi bora awe gamba tu.
Hao magavana ndo walioiba pesa zetu kwa manufaa yao bnafsi,wamesahau nn Tz wanataka tena warudi kuchota mali zetu,wafie mbele hawatoiona ikulu mikonon mwa cDM kamwe.
Hongera sana ........"Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE......"
Umechagua fungu jema sana;
Sie tuliofaidi matunda ya nchi hii tushirikiane kukiimarisha chama cha mapinduzi.
copy chama