Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Haiwezekani kila nikienda Butiama nilirudi na musururu wa watu nitaweka wapi.kufuta meza meza zangu zipo ngapi.
watu wafundishwe kijitegemea
 
huyu grace ni uongo mbowe anayo dada mmoja na yuko amerca labda kama ni dada wa ukoo
 
maamuzi yake yaheshimiwe, kwani huyo mdada si wakwanza kuhama chama kimoja kwenda kingine
 
Iwe ni kweli au la kuwa huyu ni dada yake na Mbowe, baba mmoja mama mmoja, sioni kwa nini suala hili lizushe mjadala. Huu ni ushahidi kuwa siasa za bongo zimeingiliwa na mdudu! Huyu mama ni mtanzania na ana haki yake ya kikatiba kuamua kuhama ama kujiunga na chama cho chote cha siasa. Hakuna po pote katika katiba au katika mila zetu kijamii ambapo imeandikwa au kuzoelewa kuwa ndugu wa tumbo moja lazima wawe wanachama wa chama kimoja, au hata mke na mume, au watoto na wazazi lazima wawe wanachama wa chama kimoja. Haya mnataka kuyazusha nyie kwa vile yamezoeleka huko CCM na indeed, we're becoming too low in bongo's politics.
 
Naona leo povu linamwagika ovyo leo.

Nawashangaa sana watu "chasaka" wanaojifanya wana uchungu sana na Chadema wakati wamiliki wenyewe wanaona kuwa Chadema ni biashara tu ya muda.
 
Dada kaona mbali sana big up na wengine bado muda upo wa kufanya maamuzi sahhi kurudi ccm
 
Kutoka page ya chadema in blood facebook

USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA

Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
 

kimsingi madawa ya kulevya ndio yamempeleka huko ajinasue kimaisha.
 
CCM kwa uzushi hamjambo. Kuna siku mtasema dokta zaifu ni raisi bora wa dunia.
 
Jamani hebu tuache mambo ya kusikia. huyo Grace mnamsikia tu, laiti mmngejua. alishawahi lini kuwa mwanachama hai wa chadema? alishahudhurua lini hata mkutano mmoja wa chadema. Alishatoa lini mchango wake wa mawazo ili kurekebisha chama hicho ili kikae kwenye mstari na sio kudanganya wananchi. Tafadhali watanzania tuelewe kuwa UPINZANI sio chuki.
 

Mlishawahi kukaa na kujiuliza kwanini Siri zenu za ndani ya Chama chenu zinavuja hovyo! Dr Slaa alishawahi kuwambia Chadema kila taasisi wapo! Sasa Kaeni mshangilie amekuja dada Yake Mbowe mara wanachama 550 wamerudisha Kadi za Cdm! Kumbe ndo mnakwisha ivo! Ata huyo Shonza na Mwapamba muwaangalie sana! Yote hii ni Mikakati ya kuimaliza Ccm!
 
If indeed the account is accurate - and that by no means is a given- this will actually undercut the argument that CHADEMA is a nepotist family party, to some extent.

Looking at the cross party intermarriages within the Tanzanian political elite families, the Mbowes as an example, it is ridiculous to entertain a party based line of demarcation.

How could one draw that line with the Mbowes, the Bomanis, the Nyereres, the Magenis, the Mwapachus, just to mention a few, intermarrying on a cross party understanding. Indeed many of these marriages were started way before the multi-party system was established, yet the families, as far as I understand, were not torn asunder due to the party differences. The family bond proving stronger.

I think this is a triumph for democracy and it shows that political affiliations need not be family based.
 
Ata akiwa ndugu yake kweli kwani tatizo nini? Si ametumwa kuwa informa wa Cdm ndani Ccm Kama wao walivo kua wanamtumia Lodovick na baada ya kuumbuka wamemtosa ata ujira wake hawajamlipa na sasa anamatatizo ya Ndoa yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…