Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Mkuu,
Hao BAVICHA uwa
hawapewi buku 8000 bali
uwa wanapewa viroba.,nawewe unajiona ni mwanasia sa basi tz imekwisha!
 
Kumbe chanzo cha habari ni Uhuru na habari Leo,, nani mmiliki vile?
Huyo karuka maji anakanyaga moto
kwa mtu mweye akili timamu hawezi kujiunga na chama cha wafu tena.
hata watoto wanaelewa nchi na wazazi wao ni masikini kwa sababu ya CCM.
 

Hizi zote ni mbwembwe za kujaribu kuuadaa umma kisiasa, ni kitu gani hapo nyuma kilimtoa au kilifanya Grace asijiunge na CCM na leo kaona kimerekebishwa akajiunga? Wote huo ni ubabaishaji tu, ni michezo ya kisiasa lakini kubwa zaidi vyama siyo mali za familia, dini wala watu wa aina fulani bali ni mali ya wanachama wote kwa pamoja. Hivyo hata akihama mwenyekiti wa chama bado chama (taasisi) kinabaki na wanachama waliobaki. Ninakutakia maisha mema Grace katika chama chako kipya ila ninakuomba urudishe kadi yako ya Chadema kwenye ofisi za Chadema siyo mali ya CCM ulikojiunga.
 

Basi familia ya Mbowe Kubwa ! ipo Mbeya, kagera, mtwara etc.
 
..Hii nayo ni habari ya siasa?who is Grace by the way? Hii ni cheap promotion kwake! Hata hivyo hii inasaidia kuwapa promo CDM kwamba si chama cha wana-kaskazini pekee...hata wachaga cccm wapo!
 
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.

Kajitambua au karubuniwa na magamba wenzio?!
 
Ni uamuzi wake,mradi hajakiuka katiba wala kuvunja sheria,ila kwa wale wanaojitoa ufahamu na kuleta hoja za kitoto mara chadema chama cha kifamilia,mara vile!huko ni kujidanganya na kujitia u.j.i.n.g.a tu!!tujadili ya msingi kama mchakato wa katiba mpya,taifa kuonekana taifa la wauza madawa ya kulevya na watumiaji,ufisadi,uporwaji wa rasilimali zetu etc,sio kujadili hizi porojo zisizo na tija
 

Mchaga huyo. Usikute amepiga hesabu ya mshiko ambao CCM wamemwahidi kumpa akaona isiwe ishu.
Kama ni kurudisha kadi na kutamka maneno tu.

CHADEMA hakifaidishi wanafamilia kama CCM kinavyofanya kwamba baba/mama/kaka/dada akiula na wewe unaula.

Muacheni aende tu. Wanaojiunga ni wengi kuliko wanaondoka.
 
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.

Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.

soon vijana wengi watajitambua pia

Huna jipya zaidi ya kutetea tenda ya Serengeti uliyopewa ili mkono uende kinywani........ Mfyuuuuu
 
Reactions: BAK
ameona ni HERI WAFU WAZIKANE WENYEWE amejitambua akaona cdm(vikoba) inaenda mrama akaona ni bora arudi the green starz
 

Na Mmiliki wa CCM ni nani we Mbulula?
 
cdm ni taasisi.hata mbowe akichapa mwendo cdm itabaki.na taasisi haiangalii kabila wala dini.kabla ya 1995 watz wote walikuwa ni ccm.kwani chama kilikuwa ki1.
 
Ha ha ha ha ha ha ha mna hangaika bure jamaniu, hivi kabla ya huyo dada kutangaza kuhamia MAGAMBA naniu alikua anamjua kaka yuko CHADEMA? pia ana ushawishi gani ndani ya CHADEMA mpaka apewe headline kwenye mageziti yenu hayo ya udaku. Chadema CHAMA KUBWA bwana ilipende usilipende linasonga mbele tu.
 
wauza wa unga wenzake acheni ushabiki wa kijinga kwani alikuwa na cheo gani?
 
Ritz,
Kama Chadema ni chama cha kifamilia iweje sasa Grace aondoke kwenye familia? Na vipi ule mjadala wa Ridhiwani na madawa ya kulevya umeishia wapi?
Jasusi.

Naona povu linatoka tu au na wewe una maslahi katika familia ya Mbowe.
 
unafiki mbowe dada yake ni mmoja na yuko america buku zako saba zinakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…