Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,903
- 3,259
Basi kama mambo ni hayo, natubu na sitatazama tena tv, magazeti ya udaku, mitandao ya kijamii nitasoma jukwaa la sheria na dini basi.Kile kifungu Cha amtamaniye mwanamke amezini nae haiko fair kabisa. Anayekula kwa macho na anakula mbashara kupata dhambi sawa ni uonezi
Bila hivyo kwa hulka zangu nitaona aibu hata kujitetea siku ya hukumu

