Habari ba ndugu,
Wife hayupo nimebaki na house girl cha ajabu anatoa best customer service ukarimu wa hali ya juu mpaka magoti anaponinawisha da sio kawaida yake anapokuwepo mke wangu sasa najiuliza hii huduma nzuri ninayopata nirudipo home ni ya kweli toka moyoni au ni tego mbona akiwepo wife hafanyaji hayo wenye uzoefu tafadhali.
sio vizuri mkuu hawa mabint ni kama watoto wetu tunatakiwa tunawelee nao waje kuwa na future alafu ukigegeda dada wa kazi jua umeleta aibu na fezea ktk ndoa yako yule dada atamdharau mkeo kwa kujiona naye mwanamke hatma yake ndoa itayumba sana kisa binti wa kazi lazima tuziheshimu ndoa zetu ili tuwe na furaha je wewe ungefurahi mkeo akigegedwa na house boy? so kama hupendi hayo usimfanyie dada
minofu bana marupu rupu gani?ishara ya kudai nyongeza ya salary na marupurupu!!!!
sasa inaonekana salary unampa....!!!!!
tatizo marupurupu!!!!!
una busara sana.
great words mkuu..nime kusoma venma.
Nadhani jibu zuri nikutoka kwa mkeo, msubirie arudi then umuulize!
umeandika kuwa beki tatu anatoa heshima nzuri sana !! sasa wewe ulitaka akudharau?