Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,528
- 1,920
Jamani msiisambaze hii picha inawezekana huyu ni mtu anayejiheshimu au mke wa mtu ila rafiki yake mbaya kampiga picha bila ya ridhaa yake na kuirusha
Anafanana sana na yule dada ambaye ndoa yake iliota mbawa juzi juzi!