ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Hii safi nikitoka kazini boss kanizingua,nikifika home stress zote chali raha sana.
Mke akipata likizo unamwambia akamsalimie bibi mzaa bibi yake huko sitimbi ili mzee ujinafasi.
Hii safi nikitoka kazini boss kanizingua,nikifika home stress zote chali raha sana.
wee Pacha uchungu wa mume bana aaah,
Nikimkuta hivyo naunguza makota yake na pasi ..walah
hatari hiyoo bora nisiwe na hg..
mambo gani ya kuzid ---- kuliko mama mwenye nyumba....
Duh..aise mbona hii picha kama ya mtu wangu wa karibu..
mapenzi ni kujitoa wanasema...utafungwaje
we unaonaje?amekuzidi huyo?
we unaonaje?
avatar huioni?Nitumie picha yako kwanza.....
Hawa wadada hayawani sana. Kuna jirani yetu alikuwa na mtoto wakiume wa darasa la tano hivi. Yule hg alikuwa anajifanyia self service kwa yule mtoto. Pia kwetu kuna madogo wanafundishwa kugegeda na hawa hg. Tusipokuwa makini watoto wetu wanaharibiwa.
mapenzi ni kujitoa wanasema...
mapenzi ni kujitoa wanasema...
Ivi kuna mwanaume ambae hajawahi kula housegirl kweli..?
jaman huyu m nmemaliza nae SAUT 2008 anafanya kazi ubaloz wa marekan..sio housegal