Dada, usiwaamini madereva Bolt

Real men never rape women even if the chance presents itself. Kitendo cha dakika tatu kinaweza kukuharibia maisha yako yote. Ni afadhali akucheke na kukudharau lakini ondoka na dignity yako kama mwanaume na binadamu halisi. Kamwe usimguse mwanamke bila ridhaa yake. You will be proud of yourself and you will never regret it!

 
Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.

Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
history kama ilibaki kwenye app si angereport ?????/ila inawezekana haku request kama alilewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…