Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #61
Akii we ni mzuri na umri nao bdo hujaenda sana kiivo mpaka usiweze kusifiwa..!! Una macho mazuri mhhh hizo lips bdo pia znalipa... aaah kwa kwa chin bdo cjajua ila nna iman miguu yako sio kama ya watu wa kanda ya kaskazin... kwako Kasie....
Thanks for the compliments, hakika am on my late forties kibibi mie umri umesonga sema tuu basi mwili umesimama kuzeeka japo kunyanzi zimeanza kuja usoni hehehehe.

