Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,593
Alikuwa na araka ya kufikisha ujumbe"Eti ukatabasamu njia nzima hadi home. Ukasema asante halafu ukachukua passport" haya bana
Alikuwa na araka ya kufikisha ujumbe"Eti ukatabasamu njia nzima hadi home. Ukasema asante halafu ukachukua passport" haya bana
I spread the love to allThanks for the compliments anyways..
Tatizo lako limekuwa kubwa saiv kias umeshindwa kumuuliza aliyekuona unakuja kuuliza apa ambao hata hawakufaham..
Rudi ukamuulize aliyekuambia iyo mitaa..hapaitwi GAUTREN NI GAUTRAIN..Empty set!
Hakuna mtaa unaoitwa GAUTRAIN...hiyo ni transport system.
Ila kuna mji unaitwa GAUTENG.
Unapenda kukosoa sana aisee..utakuwa na maisha magumu mno! Always seeing the negative..kunywa chai usepe sasa kama kila thread ya Kasie ukiiamini si utakuwa kichaa!???
Heey, kamba bado imekatika ujue...
Ikipatikana basi..Zote ziko hivohivo, poleee.
Kwenye mtindi hapo siku utakudwaMbona kawaida tu.me mdada mzuri huwa namsifia tu
Shosti una tako hatare
Shosti una mguu
Shosti una mtindi
Shosti una fito
Shosti una lips
Shosti una macho.... Kawaida tu yaani
KAMA HUYO KWENYE PICHA NDO WEWE BASI KAKUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA.SI KWA TABASAMU HILO MKUU KAMA UNABEMBELEZA AJIRA KWA MENEJA MWAJIRI.
Mmmngh! Kasie matata toto la kinyamwezi una mambo wwLooh hatari hiyo, kama yule afisa wa migration alinitamani kwa kutaka kunisigina looh akae mbali nami. Sijazikifu mboouo bado.