Redpanther JF-Expert Member Feb 23, 2019 2,813 3,768 Jun 18, 2021 Thread starter #281 miss pablo said: hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga. Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni Click to expand... We msimbe bado unataka league sio ??
miss pablo said: hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga. Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni Click to expand... We msimbe bado unataka league sio ??
Redpanther JF-Expert Member Feb 23, 2019 2,813 3,768 Jun 18, 2021 Thread starter #282 ndegemzungu said: muache aendelee kuuliza ujinga kama huo badae utamskia kwa mwamposa ameenda kukanyaga mafuta apate mume Click to expand... Wasimbe shida sana, wanajishaua hapa wakati Nafsi zinawauma muda umewaishia. Jua limezama alfu bado mnaleta pigo kama uko 22 wakati hapo anaitafuta 35 huku anahangaika na vikoba.
ndegemzungu said: muache aendelee kuuliza ujinga kama huo badae utamskia kwa mwamposa ameenda kukanyaga mafuta apate mume Click to expand... Wasimbe shida sana, wanajishaua hapa wakati Nafsi zinawauma muda umewaishia. Jua limezama alfu bado mnaleta pigo kama uko 22 wakati hapo anaitafuta 35 huku anahangaika na vikoba.