Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Unaliona jepesi hilo!? Yani ubaya ukishatajiwa utakimbilia kumchamba alietoa namba kama vile sijui amefanya dhambi gani!
Kuna watu humu wanachukulia poa poa sana hili jambo.
Sio kila mtu unaweza pata namba yake kwa kumuomba direct ndio cycle ya maisha ilivo

Kama utaniona osama nakuletea jau poa tu anzisha ila sio kutoa siri za kambi
 
Nooo I am not, trust me. Started this thread to share my experiences with girls of this caliber. Relax mama, unayakuza sana sijui mnataka nisemeje labda. Nilikiri kuwa nikichokosea nikutomface mhusika..! Then what are guys complaining about? Still wanna argue that
Why discriminating other's because of age why!?
Lazima tuyakuze si umeyaleta JF
 
Miss pablo naona dawa inakolea kisawa sawa…! Itaneni wasimbe wote hapa Jf mbishane na msimbe mwenzenu wa kiume niko hapa. Maana mnataka Battle ambayo haikuwa hoja ya msingi.
acha kushuoaza shingo we mvulana... umekataliwa basi. Jikatae.. unafikiri ni yeye mwenyewe hapendi? Hata mm ungenipigia from.nowhere lazima useme kwanza namba yangu umeitoa wapi. Kitu unachoprove wewe kuwa mvulana ni, umeelezwa kabisa mwanzoni huko kwamba kuna some security purposes. What if ana uadui na mtu anamstalk. What if wewe kunywea hapo kigrocery ilikua ni njia mojawapo ya kumstalk? Mbona dogo hujiongezi? Mtu asikae akanipigia na namba mpya halaf simjui na asinieleze alikotoa namba yangu kama kutakua na maelewano.

Zaidi achana na age za watu. Unaonekana mshamba
 
Relax, sio ishu ya Broke guys wala nini..! Kama ungenifahamu nje ya Jf huenda ungetamani kufuta baadhi ya koment zako unasingizia broke guys. Mnashadadia kuwa nime mbully mtu, wapiiii ??
Guys hebu endeleeni majukumu yenu vinginevyo namimi nitaanza kujibu vile mnataka nijibu.
Hujabully? What is it? Aisee... or else useme ulitaka changamsha genge. Huku wavulana si wengi kama twita dogo
 
acha kushuoaza shingo we mvulana... umekataliwa basi. Jikatae.. unafikiri ni yeye mwenyewe hapendi? Hata mm ungenipigia from.nowhere lazima useme kwanza namba yangu umeitoa wapi. Kitu unachoprove wewe kuwa mvulana ni, umeelezwa kabisa mwanzoni huko kwamba kuna some security purposes. What if ana uadui na mtu anamstalk. What if wewe kunywea hapo kigrocery ilikua ni njia mojawapo ya kumstalk? Mbona dogo hujiongezi? Mtu asikae akanipigia na namba mpya halaf simjui na asinieleze alikotoa namba yangu kama kutakua na maelewano.

Zaidi achana na age za watu. Unaonekana mshamba

Kwani huo ushamba unasemajee ??? Alfu sijamtongoza bado ila nyinyi sijui mmejuaje nimekataliwa. Hilo la umri naona mmelikomalia kinyama yaani ..! Vipi umsimbe unakuuma ama daah!
 
Wanaume Kwenye sentensi zetu hatutuamiagi neno "JAMANI"

Acha hizo pigo mkuu

Mkuu naona Uko kwenye mkakati wa kuvua samaki, hoja zako zimekaa kutafuta sifa. Mind your own business. Eti neno Jamani halitumiwi na wanaume..! Unazingua Mkuu
 
Mkuu sio kukataliwa.! Ujue hawa wanawake ambao wana stress za vikoba na Michezo yao huko wanayofanya ukiwasikiliza sana utaona kama tuna wabully. See, mtu ninaleta uzi kushangazwa na kile yule mdada anakikomalia. Ndio namba sijaipata kwake lakini kakomaa eti oooh sijui imekua hivi mara hivii..! Lilikuwa ni suala la kuniuliza vipi unashida gani? Na Bahati nzuri yule dada kanielewa n we are now texting each other hivyo yaani, ila still ananiambia anataka kujua nani anagawa namba yake. What’s so special na hiyo kujua nani kanipa namba ??
Hataki kuuzwa.
 
Usidhani mpaka sasa huyo Yuko single kama unavyodhani ana watu hakika wake sasa anapenda kujua umepat wapi isije kuwa amekupasia mtu wake ili umtie majaribuni .

Akijua umeipata wapi ndiyo awe huru au kitanzini
 
Hapana Mkuu, niko 30 Mkuu. Siku zote mimi huwa sitaki kutongoza visichana vya umri chini ya 28 maana natambua walivyo na jeuri na pia wanakuwa hawajakomaa kiakili (Baadhi yao). Kwahiyo kumfuata huyu wa 28 ni kwamba naona akili yake ina maturity na sitegemei drama za ajabu ajabu.
Drama hawakosi hawa haijalishi umri, wanapenda sana majaribu.. usitake mambo yao yote seriously 😂😂
 
Usidhani mpaka sasa huyo Yuko single kama unavyodhani ana watu hakika wake sasa anapenda kujua umepat wapi isije kuwa amekupasia mtu wake ili umtie majaribuni .

Akijua umeipata wapi ndiyo awe huru au kitanzini

Ahaaa…! Nimekupata Mkuu
 
Back
Top Bottom