Dada uko Vizuri kiumbo na sura.

Dada uko Vizuri kiumbo na sura.

NAPITA tutafutane bana kumbe tupo pamoja huku bern
 
nguo imetoboka toboka sasa mbona....K West amnunulie nguo mkewe!
 
Duuuh nimempendaaa....sijui kwa nini sikusomaga sayansi mimi

NI MWITO....hata science haikukupenda km mm ART ilivyonikataa...ila hapo hamna science...huyo ni dreva...(compact heavy machine)...
 
Inaelekea mapanya waliipenda wakaamua kuishambulia 🙂🙂 naye kwa jinsi anavyoipenda hawezi kuacha kuivaa japo mapanya wameifanya kazi 🙂🙂

Hivi huyu haoni kama nguo zimetoboka, au anafanya makusudi!
Enzi zetu tulikuwa tunaita midabwada.


attachment.php
 
Huyo ni nani jamani, mbona sijamfahamau?

Afu soon wabongo nao wataanza kuvaahivi...
 
NI MWITO....hata science haikukupenda km mm ART ilivyonikataa...ila hapo hamna science...huyo ni dreva...(compact heavy machine)...

Sasa hiyo heavy machine inabeba abiria mkuu...si kuna kazi inafanya?
 
Inaelekea mapanya waliipenda wakaamua kuishambulia 🙂🙂 naye kwa jinsi anavyoipenda hawezi kuacha kuivaa japo mapanya wameifanya kazi 🙂🙂

Kitu kinachoitwa fashion ni cha ajabu sana.
 
Back
Top Bottom