Kaliculus
JF-Expert Member
- Nov 8, 2019
- 271
- 248
Hiyo ni sawa na kubetiMbona wanaolewa mpaka mke wa nne,kuna shida gani? Waume za watu ndio wenye uzoefu na wanajua kulea.
Lazima kaka Kwan hawa wanaokosa Wanaume wa kuwa-oa wanatokeaga Sayari gani ?? Humu humu tuu hahahahhha ha ha ha baadaye atakuja atafute mtu wa kumpa ujauzito tu
Doooh!kuna mmoja nimemfatilia sana aise, mara anichukie, mara aniblock, mara ale pesa zangu kizembe tu, nikawa najipa matumaini huku nikiamini mke namtafuta.....ikawa kila ninavozidi kumzoea nikaona ni mtumiaji zaidi, sio kama anavojichukulia, "you know", zinakua kibao wakati umri unaenda.....
nikaona moyo isiwe shida tulia kwanza man, kuna wengine hautumii nguvu kama yeye......humo ndani full kuweka mpaka vipengere vya GPA na wakati masuala ya kusoma tushamalizana nayo..........
saiz akija kuniongelesha nasikia tu "namimi nitapata tu wa kunioa", namwambiaga endelea kutafuta mama, wanaume wapo kibao
wengine mnaonewa huruma afu nyie wenyewe hamjitambui pumbavu zenu, unataka mwenye gari wakati baba ako kapaki ndala nje ya mlango



Kwaiy una muonea huruma Au ha ha ha haHiyo ni sawa na kubeti
Sent From Galaxy S20 Ultra
hakuna shida mkuuUmeongea kwa hisia sana jaman.....vipi mkuu shida nn?
hahahahahah naanzaje kwa mfano, ngoja ajifunze kwanza then next time mwingine akijitokeza atakua na nidhamLazima kaka Kwan hawa wanaokosa Wanaume wa kuwa-oa wanatokeaga Sayari gani ?? Humu humu tuu hahahahhDoooh!Kwaiy una muonea huruma Au
I'm on that good kush and alcohol
Angalau maneno yenye faraja sio lazima kumkubali Kila mmoja, hiyo inakuwa akiba yake siku mtu wake akizingua,Unaujua wastani wa wadada kutongozwa kwa siku? Imagine watawakubalia wangapi kila wakitongozwa
Safi Sana Mkuu, inatakiwa iwe hivyoAngalau maneno yenye faraja sio lazima kumkubali Kila mmoja, hiyo inakuwa akiba yake siku mtu wake akizingua,
Nitafanya hivyoo kaka😂Kama wewe ni kibonge jitahidi uwe unajipitisha pitisha kwa mabaharia
Ngoja wajizeekee nyumbaniWana jibu lao
'Sio type yangu'.








