Dada ukitongozwa kubali...

Dada ukitongozwa kubali...

Ukiona hivyo ujue kuna kidume mwingine anampa jeuri na kumuweka mjini zaidi yako,usifikili kwamba hakupendi au hakutaki moja kwa moja
Ukiona hivyo inabidi kukaa pembeni kuepusha msongamano...baada ya muda 40yrs bado single.
 
tatizo ni pale unakuta wewe mwenyewe ushapenda na mwenzio hana hata time na wewe mpaka message za tigo zikiingia kwa simu yako basi unaifungua kwa bashasha kubwa ukifiri ni yeye kakubali ombi lako.
 
Jiwekee utaratibu wa kupenda unapopendwa,hiyo haitakusumbua
 
Hahahahh wanawake bhana
Kuna mmoja hivi kana miaka 23 Anajifanya ana misimamo yuko bize ana soma vitabu vya maisha, Sasa vimemharibu ana act kama mtu mwenye misimamo. Yani anajifanya yuk Serious kishenz, tinted mda wote hana mda na simu yani, Nimempa miaka miwili tuu atakuja na Bango Humu
Bad Enough ni kibonge dah

I'm on that good kush and alcohol
 
Jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahh wanawake bhana
Kuna mmoja hivi kana miaka 23 Anajifanya ana misimamo yuko bize ana soma vitabu vya maisha, Sasa vimemharibu ana act kama mtu mwenye misimamo. Yani anajifanya yuk Serious kishenz, tinted mda wote hana mda na simu yani, Nimempa miaka miwili tuu atakuja na Bango Humu
Bad Enough ni kibonge dah

I'm on that good kush and alcohol
Asante kwa kunisimangaa dah!🤣🤣🤣🤣🤣 neno kibonge limeniTOUCH SANAAA😂
 
Back
Top Bottom