Dada, ukitaka Wanaume handsome njoo Kusini/Masasi

Dada, ukitaka Wanaume handsome njoo Kusini/Masasi

Ujinga ni mzigo....huna majukumu ndo maana unaanzisha mjadala wa kijinga
 
Kibaya ni kwamba uzuri sijui uhandsome hauliwi....mkiwa na dhiki hauna faida yoyotee....
 
Nitakuja ila sasa uniambie nilenge wap masasi mjini? Wanajishulisha? Wanaakili?
 
Wamakua na wamwera si ndio makabila ambayo mwanamke ndio mwenye ukoo?hapo lazima wanawake waje wengi kuopoa wanaume.
 
Masasi kutam sana... God wishes naingia mwezi ujao huko kwenye harakati zangu.. tukutane usiku uwanja wa fisi mkuu tupige moja baridi moja joto
 
Iwe inafanya kazi sio kila siku kuishiwa mafuta njiani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itajitaidi isiwe inakata wese njiani
 
Back
Top Bottom