Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Ni kweli kabisa....Yaani huyu ni Muhaya kabisaa 😀😀
Ni kweli kabisa....Yaani huyu ni Muhaya kabisaa 😀😀
Jaman shangaziiii mkubwa, Mungu wa Israel anakuona nipe namba,Ooh kumbe kuna vitu nyuma ya keyboard unaogopa utaumbuka eeh?.sitaki mimi![]()





wakubwa tulishamwelewa kitambo anachotaka kumfanyia huyo bintiAle pasaka au unataka kumkwichikwichi wewe
pasaka gani unataka mlisha ambayo hatoisahau?
Nipe dondoo wa bukoba ni yupi, mana wajuaji mno utzani ndio wenye JFWatu wa Bukoba utawajua tu
Ndiyo wenye jamii forum kweli.Nipe dondoo wa bukoba ni yupi, mana wajuaji mno utzani ndio wenye JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye daladala za makumbusho nawasiliano tukawa tumekaa na dada mmoja hivi jina aliniambia anaitwa Cathy
Huyu dada cathy sio siri alikuwa mzuri sana na nilijiapiza japo si kawaida yangu kuomba namba kwenye usafiri wa uma lakini kwa huyu nilisema lazima nijitoe ufahamu nichukue
Tukiwa tunatoka mawasiliano nikamuuliza anashukia wapi akasema mpakani nikaona ni kipande kidogo sana hivyo nikajitahidi kujipigisha stori chache ili anipatie namba na kweli mpaka kufika mpakani alikuwa kashanichorea namba na nikaipiga ikaita kwake nikawa na uhakika then yeye akashuka
Ile nimetoka mpakani kuelekea mwenge mataa nikiwa nafurahaa kusave namba ya mtoto cathy alipita jamaa mmoja na boda boda akaikwapua simu yangu na kupotea nayo mazima kiukweli maumivu yalikuwa makubwa sana si kwaajili ya simu yangu ila ile namba muhimu niliyopewa na Cathy
Tumaini pekee lilikowa limebaki ni kurenew namba labda mtoto Cathy atanitafuta leo ni siku ya tatu toka nirenew napigiwa na wengi ila sijaona simu ya huyu mtoto kuingia sasa sijui anasubiri nianze mimi kumtafuta au alijaribu akaona sipatikani
Naomba nikuombe Cathy kama upo humu na unausoma uzi huu kama namba yangu bado unayo nitafute leo kabla ya pasaka utafurahi sana au kama uliifuta namba kwa bahati mbaya njoo pm fasta leo ule pasaka utakayoikumbuka maisha yako yote
Halafu ni kama bahati mimi si mtu wa daladala nimeacha kutumia daladala toka mwaka 2014 gari yangu ilipata matatizo kuna dogo huwa namtuma sana kunichukulia baadhi ya vitu aliligongesha hivyo ile siku tunakutana Cathy nilikuwa naenda shughulikia suala hilo
Ila wakuu nimejifunza kitu nilikuwa nadharau sana hizi daladala kumbe kuna wadada wazuri wengi wanatumia huu usafiri tujitahidi kuwapunguza huko kama una kiuwezo hata IST sio mbaya kwa mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo dada hata mm nilimuona muhimbili halaf alikuwa kisu kwel naona ndo huyo anayemzungumzia mtoa mada NDO YEYEGwele Kuna dada alikuwa Ana piga kelele hospitali pale muhimbili...wiki iliyo pita,Kwa jina nili sikia anaitwa Cathy ..alikuwa amepata ngoma...haamini.sa sijui ndio huyo unaye mtafuta au....
Hahaha, hicho kiluga kweli yaoNdiyo wenye jamii forum kweli.
Maana mmili ni maxence Melo mubyazi mzaliwa wa bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu umenukuu kwa maana ipi?........Halafu ni kama bahati mimi si mtu wa daladala nimeacha kutumia daladala toka mwaka 2014 gari yangu ilipata matatizo kuna dogo huwa namtuma sana kunichukulia baadhi ya vitu aliligongesha hivyo ile siku tunakutana Cathy nilikuwa naenda shughulikia suala hilo......
Mkuu mbona unanitafuta ubaya mtoto kama yule na ngoma wapi na wapiGwele Kuna dada alikuwa Ana piga kelele hospitali pale muhimbili...wiki iliyo pita,Kwa jina nili sikia anaitwa Cathy ..alikuwa amepata ngoma...haamini.sa sijui ndio huyo unaye mtafuta au....
Daah pasaka yangu ilienda ovyo sana labda ana hofu nimeoa mimi si mume wa mtu naishi single tu naweza hata mtumia location aje mwenyewe kwangu Mikocheni kwa Nyerere ndio nipo kwa sasaheheheh muvi kali sana hili
heheheheheSiyo danga ni dongo![]()



chukua busu hilo wewe acha kununa nuna Jamani uncle mdogo, namba yangu siyo karanga kwamba zinagawiwa tuu😏
Kama busu pesa peleka bank😀