Dada tuliekutana Mwenge please nitafute

Dada tuliekutana Mwenge please nitafute

Kolona😅
Screenshot_20200421-152757.jpg

😂😂😂, vzr na tahadhari zaidi,Maana ukileta utani watu wanaanika maturubai.
 
Write your reply...ila kwenye daladala kuna watoto wa Kali mi ni konda ila nimeacha kwa ajili ya korona kila trip lazima nibebe namba hadi najisahau naomba Mara mbilimbili
 
........Halafu ni kama bahati mimi si mtu wa daladala nimeacha kutumia daladala toka mwaka 2014 gari yangu ilipata matatizo kuna dogo huwa namtuma sana kunichukulia baadhi ya vitu aliligongesha hivyo ile siku tunakutana Cathy nilikuwa naenda shughulikia suala hilo......
 
Yaani huyu ni Muhaya kabisaa 😀😀
 
Back
Top Bottom