mbalazi og
Member
- Oct 28, 2019
- 17
- 15
Mkuu nimejipanga vizuri kwaajili yake nataka ale pasaka ya hadhi yake yule si wa kupanda daladalaAle pasaka au unataka kumkwichikwichi wewe
pasaka gani unataka mlisha ambayo hatoisahau?
Mkuu sijatangaza dada yoyote nimesema Cathy namjua vizuri alivyo na namba yake ya tigo nakumbuka inaishia 47Wakina dada fursa hiyo nendeni mkamchune PM
Yess bishoo hasWaaaa
Hamna mkuu ni katika kumtoa tu wasiwasi ajue mimi mtu wa aina gani pia ili asije puuza na kukosa bahatiTaarifa ilianza vizur ila sasa ujumbe ukaharibikia pale uliposema kwamba ww sio mtu wa matumiz ya daladala, Umeacha kupanda 2014.... Thats what we call Ego Bro...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maelezo yote nimeandika umeona hapo tu ? Au vibaya kusema mimi sio mtu wa daladala?Ujumbe wako umefika ,
Tumejua kuwa wewe sio mtu wa daladala
Mkuu hizi unaleta sasa nuksi huyu mtoto aolewe bila hata kujaribu namba yangu maana najua hata yeye aligundua ni mtu wa hadhi gani
Mkuu acha utani basi mimi situmii vits and the likeHongera kamanda! Gari yako ni aina gani?
Wewe ndio yule jamaa anayeuzaga viatu kwenye vits mitaa ya tabata
Hebu njoo pm haraka nijiridhishe kama ni wewe?Mtoto Cathy ni mimi hapa, nimekutafuta sana sijakupata mkuu dah, kama bahati vile kabla ya Pasaka wewe hapaa, nakuja na orodha ya mahitaji ya sikukuu jipange.
Vipi mkuu, Nije na hiyo list ya mahitaji pia?
Sasa mkuu kweli nitoke home asubuhi nipaki gari pale natega mingo namsubiri mtu bila appoitment yoyote ?
Again and Again same mistake bro anyways all the best....Hamna mkuu ni katika kumtoa tu wasiwasi ajue mimi mtu wa aina gani pia ili asije puuza na kukosa bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijatangaza dada yoyote nimesema Cathy namjua vizuri alivyo na namba yake ya tigo nakumbuka inaishia 47
Sent using Jamii Forums mobile app



Huyu atakuwa mhaya.Taarifa ilianza vizur ila sasa ujumbe ukaharibikia pale uliposema kwamba ww sio mtu wa matumiz ya daladala, Umeacha kupanda 2014.... Thats what we call Ego Bro...
Sent using Jamii Forums mobile app