Karibu mkuu mali zote hiz zipo ofisiniUngeweka picha (dining & seating room)
Karibu mkuu mali zote hiz zipo ofisiniUngeweka picha (dining & seating room)
Sio kwamba hatuzitaki, ila tunawapiga spana left, right & centre😅Heee! Mshahama tena.
Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.
Binafsi naweza kukupa hata 1mil ila unavoomba uwe umekuja na 1mil ya kwako ili ziwe 2mil then tunaenda dukan hapohapoAisee
Hatuwahongi kama anasa ila tunawaongezea hela wanayofeliwa ili wakamilishe ndoto zaoMnasema wenye hela wana viburi, hawafai kuolewa...
Btw sshv wanawake wana pesa zao na bado mnawahonga
HIi vita sio ya kundi moja, ni makundi mbali mbali ya wanawake. Mtu akiudhiwa tu na mwanamke anakuja huku kumchambuaHeee! Mshahama tena.
Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.
Yaani. Acha kabisa.
Hapo hapo mwanamke asipoolewa ili atafute hiyo hela kwanza siku akitaka kuolewa watamuita gume gume.
Mnatuchanganya sasa mana mwisho wa siku tutakosa la kushika. 😅Sio kwamba hatuzitaki, ila tunawapiga spana left, right & centre😅
Sa Kipenzi Changu si mtakuwa mnatuvuruga wenzenu.HIi vita sio ya kundi moja, ni makundi mbali mbali ya wanawake. Mtu akiudhiwa tu na mwanamke anakuja huku kumchambua
Weka picha na beiSawa karibu basi uniungishe nauza furniture nzuri san
+255 616 941241
Usivurugwe kipenzi, hizo ni heka heka za mapenzi na ndoa. Ni ngumu kuzizuia labda tu kuzipunguzaSa Kipenzi Changu si mtakuwa mnatuvuruga wenzenu.
SawaHatuwahongi kama anasa ila tunawaongezea hela wanayofeliwa ili wakamilishe ndoto zao
Hiyo tunaita unafki.comWakishamwaga wanaanzisha uzi wadada waache kujiuza, wakati hapo kapata huduma ambayo asingeipata kwa wepesi😂
Aah weeh kuna kauhakika bana!!
Una uhakika...Aah weeh kuna kauhakika bana!!
😁😁😁😁😁😁😁Una uhakika...
wela welaNakolekaga, u should know now lol😂
Acha tuwachanganye kama mnavyotuchanganya, mweusi , mrefu, kifua kipana, anahela alafu unataka mtoot mweupe😀Heee! Mshahama tena.
Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.