Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,406
- 36,567
Huyu sijui yuko karne ipi bado😂Mnasema wenye hela wana viburi, hawafai kuolewa...
Btw sshv wanawake wana pesa zao na bado mnawahonga😀😀
Huyu sijui yuko karne ipi bado😂Mnasema wenye hela wana viburi, hawafai kuolewa...
Btw sshv wanawake wana pesa zao na bado mnawahonga😀😀
UkizipataJamani natafuta hela!!
Watu wamechoka mapema😅⛳️Heee! Mshahama tena.
Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.
Things caught on fire😅Faza mashikkolo madamu no😂
Yani wao wamevurugwa pia kumbe, ila kutwaaa kutuanzishia vijiwe vya kutusema🙌🏾Ukizipata
Watasema hufai kuolewa una kiburi cha pesa
Uzuri na ya mitandaoniHuyu sijui yuko karne ipi bado😂
And the pressure is getting worser😆Things caught on fire😅
Woiii tena wanapitiliza mpaka unaogopa!!!😁🤸🏽♀️Uzuri na ya mitandaoni
Huku kitaa hakuna uhalisia
Wanaume wenye hela wabahongaaa vzr tu 😃😃😃
Yaani. Acha kabisa.Watu wamechoka mapema😅⛳️
Wana mahangaiko!!Yaani. Acha kabisa.
Hapo hapo mwanamke asipoolewa ili atafute hiyo hela kwanza watamuita gume gume.
Hawaeleweki😀Yaani. Acha kabisa.
Hapo hapo mwanamke asipoolewa ili atafute hiyo hela kwanza siku akitaka kuolewa watamuita gume gume.
Tuki propose mna tuona wajinga ehh😅Wana mahangaiko!!
Wanaume wenzao wanawageuka kutwa ku-propose kama majinga vile😁
Na bado wanafuta wanawake mpk wa kununua😀😀Yani wao wamevurugwa pia kumbe, ila kutwaaa kutuanzishia vijiwe vya kutusema🙌🏾
Hawa waanzisha mapambano ndio wajinga wanaopropose wana akili kubwa sana😎Tuki propose mna tuona wajinga ehh😅
Wakishamwaga wanaanzisha uzi wadada waache kujiuza, wakati hapo kapata huduma ambayo asingeipata kwa wepesi😂Na bado wanafuta wanawake mpk wa kununua😀😀
Nilekage, I don't know what to do!.Hawa waanzisha mapambano ndio wajinga wanaopropose wana akili kubwa sana😎
Nakolekaga, u should know now lol😂Nilekage, I don't know what to do!.
Ungeweka picha (dining & seating room)Sawa karibu basi uniungishe nauza furniture nzuri san
+255 616 941241