Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,666
😹😹😹😹Heee! Mshahama tena.
Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.
😹😹😹😹Heee! Mshahama tena.
Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.
Karibu nauza mchele bei 2400 nipo geitaSawa karibu basi uniungishe nauza furniture nzuri san
+255 616 941241
Asante mkuu nikiuza sofa ntannua kg 20 za eid!Karibu nauza mchele bei 2400 nipo geita
Ooh!! Afadhali umeniweka sawa Kipenzi Changu.Usivurugwe kipenzi, hizo ni heka heka za mapenzi na ndoa. Ni ngumu kuzizuia labda tu kuzipunguza
😃😃Acha tuwachanganye kama mnavyotuchanganya, mweusi , mrefu, kifua kipana, anahela alafu unataka mtoot mweupe😀