fuma JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 215 Reaction score 411 Oct 22, 2016 #1 Nipo nausikiliza huu wimbo siku ya tatu sasa. Kama kwa namna yoyote umekugusa ama unakukumbusha kitu ama kukufunza chochote. Sema kitu tafadhali.
Nipo nausikiliza huu wimbo siku ya tatu sasa. Kama kwa namna yoyote umekugusa ama unakukumbusha kitu ama kukufunza chochote. Sema kitu tafadhali.