Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

HIV sio mwisho wa maisha ,mwambie akomae atafanikiwa tu
 
Pole yake!hzo zote ni pilika katika safari ya maisha,alafu mshaur kuugua HIV siyo kifo,ajaribu tu kurelax,na kuzingatia dozi
 
Jini: Nataka Kuku mwekundu,
Mganga: Sawa utapata hakuna kingine?
Jini: NATAKA HATI YA MUUNGANO. Mganga: Wewe jini, TUNDU LISSU au JUSSA?" haina tofauti na hiiii
 
Kwahyo kama ulimbikiri mke wangu utakuja kumtembelea?
 
mmmmh! kweli maisha bila unafki hayaendi....eti imeniuma sana alivyoniambia ameathirika...khaaaa! ptuuuu!! wewe kilichokuliza ni nauli yako ya kwenda na kurudi halafu papuchi holaaah kisa demu anangomaaa....kiruuuu
 
Kwahyo kama ulimbikiri mke wangu utakuja kumtembelea?

hahahaaa!!! hawa ndio wanatufanya tusiwaamini wageni wanaokuja majumbani mwetu...alafu utasikia wife anasema...kaka yangu huyuu mtoto wa babu mkubwaa yule wa machame.
 
Inawezekana umepigwa changa la macho. Lakn ulitafuta nini kwa mke wa mtu? Unatafuta kufa kama sio ukimwi basi nyundo ya kichwa.
 
ukimwi ni kama maleria tuu...tena bora maleria kuliko ukimwi so usiumie sana eti kwakua anaumwa ukimwi ni ugonjwa kama magonjwa mengine.

Mawazo yenu yananifurahisha. Nikuulize wewe una ngoma uonge hv?? Ukipata ngoma ujue saa inakaribia. Ni upotofu kusema ni kama gonjwa lingine. Usisikir aods kabisa.


The king.
 
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita. Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua sim hazikua nyingi tulipotezana sana.

Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanielza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco. Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanielza kweli yupo Mji kasoro bahari.

Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa. Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.

kwani na wewe umepima?
 
Halafu wewe inaelekea ni mtu mzima sana; huwa sipendagi vidume vinavyolialia mie. Shame on you.

Mi pia, but it is allowed in such a situation.

There is nothing to be ashamed of. Boys can cry too.
 
kapime na wewe labda we ndio uliyemuambukiza, halafu tiitle yako inafaa kuuzia habari,
 
hahahaaa!!! hawa ndio wanatufanya tusiwaamini wageni wanaokuja majumbani mwetu...alafu utasikia wife anasema...kaka yangu huyuu mtoto wa babu mkubwaa yule wa machame.

Mke ataondoka na kaka yake, saa hyohyo
 
Nadhani haina maana kama mtu niliembikiri basi nisimtafute
milele na ckua na nia ya kugegeda tena ilikua katika urafiki na mahusiano ya kawaida na kwa taarifa yako tu mimi X girlfriends wangu wote hua ni rafiki zangu wakubwa na ninashirikiana nao mambo mengi kwani kuachana sio ugomvi
kama wengi mlivozoea
nimekupendaaaaaaaaa
 
Kiukweli nimejikuta hadi sasa naumia na kumhurumia sana na nawaza nimfanyie kitu gani kizuri ambacho kitampatia furaha kwa sababu machozi yale yameniuma sana tena sana.
Kubikiri ni kuumizana tu, sasa uliye naye akitafutwa na aliyembikiri, utafurahi?
 
Sikwenda kwa nia mbaya na wala sikumtafuta ili nimgegede hapana naomba nieleweke na hilo limezuka baada ya kuonana nae na kimsingi imeniuma sana.

The road to hell is full with good intentions
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom