Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

Kwanza nampongeza huyo mwanamke kwa kuwa muwaz yani ongeza upendo co wa sex hpn mjali mfariji mpe moyo
 
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita.

Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua simu hazikua nyingi tulipotezana sana.

Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanieleza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco.

Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanieleza kweli yupo Mji kasoro bahari.

Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa.

Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.

wewe umeshapima , usije ukwa ni mteja wa kutumia ARV pia ndugu.........
 
wakati ulikuwa unataka kumzini,MUNGU ameipokea hio sala kweli?
 
sasa kaka we ulitaka kumzini alafu umemuombe hiyo dua imeswihi kweli?
 
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita.

Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua simu hazikua nyingi tulipotezana sana.

Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanieleza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco.

Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanieleza kweli yupo Mji kasoro bahari.

Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa.

Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.

vijana mna shida sana siku hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom