Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,978
- 54,107
Inauma
Ama kweli Hadithi hainogi bila kumtaja sungura, kama vile thread za MMU hazinogi pasipo kutaja kugegedana!!!
Hivi wanaume hutafuta wanawake "waliowabikiri" udogoni? Kufafanua: yaani mwanamke wa kwanza ku-do nae
Inategemeana unamtafuta kwa nia gani, kama kwa nia njema au vinginevo na mara nyingi hua napenda kuwaona X wangu wote wakiwa ktk furaha na mafanikio makubwa ktk maisha
Halafu wewe inaelekea ni mtu mzima sana; huwa sipendagi vidume vinavyolialia mie. Shame on you.
kumtafuta kote huko ulitaka kujua kama ile bikra iliota tena ama? What is the motive of your story? Ni kutuambia kuwa ulimtoa bikra/kwamba ameathirika/unampenda ama?
Ushauri gani sasa huupole uwe unawasiliana naye kama sehemu ya kumfariji!usipotee sana,na muulize kama anadhani unaweza kumsaidia kwa namna yeyote ile!!ila kuwa makini usije kupigwa shoti ya umeme na jamaa wa tanesco!
mbona yule wa katavi alilia au yule mshamba wa simanjiro hukusema ila hata mimi cwapend
Mkuu nilimtafuta kwa mema na wala sikua na nia mbaya mkuu
Kwlei kaka ni kuanza aina nyengine ya maishaWana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita. Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua sim hazikua nyingi tulipotezana sana. Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanielza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco. Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanielza kweli yupo Mji kasoro bahari. Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa. Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita. Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua sim hazikua nyingi tulipotezana sana.
Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanielza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco. Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanielza kweli yupo Mji kasoro bahari.
Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa. Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.
Inategemeana unamtafuta kwa nia gani, kama kwa nia njema au vinginevo na mara nyingi hua napenda kuwaona X wangu wote wakiwa ktk furaha na mafanikio makubwa ktk maisha