Katika kumlaumu bwana Madereva hili siwezi kumlaumu hata chembe, tamlaumu kwa mengine ila hili taungana naye najua hata wabunge katika hili wanamuunga mkono pia. Wapo walioenda mbali zaidi na kusema kwanini hakumjengea kagorofa kule upepo unakovuma unaenda kumlipia kodi kwenye vumbi huko.