Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

Watafunaji huwa hawaongei wala hawana maneno mengi, utaona manyoya tu.

Kwanza dunia ilipofikia ni aibu kwa mwanaume kusema unazungushwa wakati wengine hata chupi hawavai kabisa kurahisisha mchakato.
Bora umenisaidia yani mdogo wako huyu kawatia aibu Sana,, ndo kauanza ubaharia msaidieni,, mi mwenyewe na uanamke wangu huu ningekuwa dume nisingefanyiwa huu upuuzi wa kuliwa hela na mzigo nisile na nianze kutafuta huruma kwa watu,, jamaa ana kaufala kakubwa tu
 
Unataka umle shemeji bila aibu. Mdogo wa mkeo yani??

Kuna wajomba mna ushetani flani hivi.
Niwe tu mkweli, sijawahi kutongoza shemeji, lakini pia sijawahi kukataa nilipotunukiwa. Kuikataa pisi kali ni ngumu sana asikwambie mtu
 
Bora umenisaidia yani mdogo wako huyu kawatia aibu Sana,, ndo kauanza ubaharia msaidieni,, mi mwenyewe na uanamke wangu huu ningekuwa dume nisingefanyiwa huu upuuzi wa kuliwa hela na mzigo nisile na nianze kutafuta huruma kwa watu,, jamaa ana kaufala kakubwa tu
Sijui anaishi mkoa gani huyo wenye uhaba wa mademu mpaka aje kulialia kuzungushwa.

Kiukweli sijamuelewa, sasa mtu wa hivi ukimpeleka nchi za watu si ataishia kupiga punyeto tu.
 
Sijui anaishi mkoa gani huyo wenye uhaba wa mademu mpaka aje kulialia kuzungushwa.

Kiukweli sijamuelewa, sasa mtu wa hivi ukimpeleka nchi za watu si ataishia kupiga punyeto tu.
Achapwe viboko kumi na mbili hadharani hakuna namna😂😂😂
 
Nikajua demu tuu,kumbe shemeji yako!!?? Yaani mdogo wa mkeo si ndio!?

Yaani kama mkeo atake kuliwa na mdogo wa kiume si ndio!?

Hivi huu ni uroho au umalaya
 
Back
Top Bottom