Dada atuhumiwa kumuua kaka yake kisa kulala kwenye chumba alichokuwa analala marehemu baba yao

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
edited-leoio-660x400.jpg

Kijana aliyefahamika kwa jina la Mandela Malisa mkazi wa kata ya Sinoni mkoani Arusha anadaiwa kuuawa kwa kushambuliwa na vitu vyenye ncha kali na dada yake kwa madai yakumkataza kutokulala kwenye chumba alichokuwa analala baba yake.

Baba mkubwa wa marehemu Emrod Malisa amesema kwamba awali ndugu hao walikuwa na ugomvi wa kifamilia, lakini baadaye dada zake walikuwa hawataki kijana huyo alale kwenye chumba alichokuwa analala baba yao ambaye amefariki miaka kadhaa iliyopita.
 
Hiyo ni sababu au kisingizio kwa kuwa walikuwa na ugomvi wa familia, mbona haina mashiko?

Hiko chumba kilikuwa na nini hasa mpaka kumshambulia kaka yake? Au alikuwa anaharibu nini kulala humo?
Kuna mizee inamega watoto wao. Mwenge kijijini pembeni ya hotel ya Kebi's Kuna bar, mwenyenayo alikuwa anawafyatua watoto wake was kike na wa kiume. Wa kiume amekuwa choko kabisaaaà.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom