Kweli kabisa unakuja kuuliza hilo swali, mtoe basi abebe baraka na nyota yako...au ndio uishi maisha ya tabu yake yanyooke.... Au mengine yasiwezekane kabisa maishani mwako...
Hauoni hilo ni jambo la ajabu?
Usijaribu hata kufikiria tena. Au mrafutie bwana amtoe ukiona anakazania wewe labda utashtuka kujua kuna kitu... Hivyo kaa nae mbaki kabisaaaaa...ya duniani mengi kama hujui