Ule nilimaliza yote, nikaona tabu kukusumbua tena ila nilimaliza yote kidogo ning'ate na plate
nimeamka! habari yako?
aisee njema kabhisa! got breakfast?
Aaaaa Excel nini tena?
hahaaaaaaaaaah! kwani vibaya?
qulaleki... eti raha upewe wewe, halafu mi nijipinde kurudishia nguvu mlizopoteza? ohooo! naandamana na mimi nipewe!!
vibaya sana aisee! la sivyo na mimi nile leo mchana kutwa!
hapo tutaelewana vizuri tu bila shida qulaleki!

Hahahaha bana eeh si uingie jikoni fasta?
hamna tatizo mamii! nimependa tu uje utupe company hapa! umemuona wapi mimi49 na Honey Faith?
Bhabha Bhoke nimekuchaaa mbio chana niriwahii kurara sasa rimutu rimoja rikaniambia urikuwa unanitafuta sasa nimewasiri
urikuwa wapi sasa mama bhoke?
urirara wapi chana? eenh?
ntakugecha! toa maeleso ya ghutosha kabhisa!
Chana huku kwetu rire rikiwanda ra umeme rirituzimia moto sasa narisimu ririkuwa harina moto na rimtandao naro rikawa rinasumbua nikaamua nijirarie mapema