DAB

DAB

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,548
life-death-of-dab-dance.jpg

Style hii inazidi kuwa maarufu kwani initials zake zinarandana na mtu maarufu kisiasa.
 
sio freemason kama wengi wanavodhani ila ni styl ambayo imetumika mda kidogo na wasaanii ila haikupata umaarufu kama sasaiv kutokana na wasanii wakubwa kuitumia pia
 
Daudi Albert Bashite kutoka Koromije wilaya ya Missungwi mkoani Mwanza... hatari sana huyo boy!!
 
Back
Top Bottom