Daah!! Nimemuona mheshimiwa Rais, JPM anashona!

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
405
kwa kweli nimefurahishwa sana na hili .. kumuona mzalendo mwenzangu akiwa ameketi anatumia cherehani...
Nimefarijika pia kumuona Mh. Rais, Dr. JPM akiwa anazungumza maana nina takribani wiki 3 sijamuona akizungumza..

Ni hayo tu...
 
Magufuli katokea maisha ya chini sana mjue, kazi nyingi za kitaa anazijua
 
kwa kweli nimefurahishwa sana na hili .. kumuona mzalendo mwenzangu akiwa ameketi anatumia cherehani...
Nimefarijika pia kumuona Mh. Rais, Dr. JPM akiwa anazungumza maana nina takribani wiki 3 sijamuona akizungumza..

Ni hayo tu...
Magufuli amepitia mengi ambayo ni yale anayokutana nayo mtu wa kawaida kila siku ndio sababu anajua vingi. Chunguza tu, asilimia kubwa ya wale wanaojua kushona ni watu wa aina gani au waliopitia maisha ya aina gani hata kama wana mafanikio tayari ndio utaelewa nachokisema.
 
ila magufuli ana IQ tofauti sana... viongozi wengine wapo wengi sana waliotokea chini lakini wanafanya maduduz tu...
 
mtamsifia tembo ila hamjui gema atalimegua lini
wote walianza hivyo ihivyo baada ya siku wakala kamba
wewe unafikiri zama za kuwekana uiti wa mgongo huu
heheheheheheiyaa shuauriro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom