Ni njama za makusudi kumuangusha Rais

Oct 16, 2015
20
56
Na Thadei Ole Mushi

Kila mtu kwenye taifa hili kwa sasa anafanya press kupinga uwekezaji wa Bandari kuwa kama ulivyo na vifungu vyake kwenye MoU. Nimetafakari kwa muda nimegundua kuwa Rais anafanyiwa hujuma kwa hesabu kali za urais 2025-2030.

Kwa nini nasema hivyo?

Ninachokijua mimi Mafile yanayokwenda Mezani kwa Mh Rais ni mengi sana kwa Siku, kusoma yote neno kwa Neno si rahisi kama tunavyofikiria.

Na Rais wa Nchi sio mtaalamu wa kila kitu useme anajua Sheria, anajua Mambo ya Afya au mambo mengine anaweza kuwa ni mtaalamu kwenye eneo moja tu mengine yote anasubiri wataalamu na washauri wake wamshauri na kumletea briefing ya nini kipo kwenye mamikataba na kwenye mafile mbalimbali.

Tena wakati mwingine wataalamu na washauri hao wanakuja tayari wakiwa wamesha toa recomendations kwa Rais jambo fulani mahususi lifanyiwe kazi kwa utaratibu fulani.

Siku za karibuni Rais Samia aliwahi kushangaa hadharani kuhusu washauri na wataalamu wake kupitisha vifungu vya Sheria kwenye mikataba ambavyo vinaiangamiza nchi na alisema hadharani kuwa aliwapa watu wengine wakasoma ndio wakamwambia kuwa vifungu fulan havitakiwi kuwepo kwenye mkataba huo hii ni kabla ya haya ya Bandari.

Lakini tuna Historia ya Kesi zetu za Kibiashara huwa tunashindwa sana kwenye mahakama za kimataifa ndio maana hata mali zetu kama ndege huwa zinakamatwa hovyo hovyo nje ya nchi.

Historia ya Rais Samia kuwa Rais

Historia Rasmi ya Rais Samia kuja kuliongoza taifa hili ilianzia mwaka 2015 pale ambapo aliyeteuliwa kugombea Urais Dr. Magufuli alipomchagua kuwa Mgombea Mwenza. Kabla ya Hapo si yeye tu hata watanzania wote hawakujua kwamba ipo Siku ndani ya Muda Mfupi ujao Taifa hili litaongozwa na Mwanamke.

Katika hili ni Mungu pekee aliyekuwa anajua nini kitatokea toka alipoteuliwa kuwa Mgombea mwenza na huo tunasema ulikuwa mpango wa Mungu ulikuwa wala sio Mpango wa CCM.

Nimelazimika kufikiria hivi na kulisema hili kipindi hiki kwa sababu Mambo Mengine Rais anafanyiwa Makosa ya makusudi ili wamwangushe. Rais Samia anatakiwa afahamu kuwa anaketi nao mezani na kushauriana nao ni Moja ya Makada 38 waliotangaza nia 2015 kutaka kuliongoza taifa hili.

Rais Samia asifikiri ndoto hizi zao zimekufa ni dhahiri zipo na huenda kila tukio linalotokea kwenye Siasa na Uchumi lipo calculated kwenye kutaka madaraka ya juu sana ya Nchi hii. Hizi ni hesabu za watu sio rahisi kuziona na hata ukiziona sio rahisi kuzitambua hivyo kila hatua inayopigwa na Rais inatakiwa iwe imehakikiwa vizuri asije kukanyaga Shimo akatumbukia.

Waingereza huwa wana Msemo unaosema “give someone enough rope and he/She will hang himself/herself” kwa tafsiri isiyo Rasmi ni kwamba unapomuona mtu anafanya makosa mpe nafasi ya kutosha kuyafanya ili makosa yake yamwadhibu mwenyewe.

Kuna saa nilikuwa Simuelewi Humphrey Polepole alipokuwa anasema taifa hili lina wahuni huenda wahuni wenyewe ndio hawa wanaotega mitego yao. Kwa bahati mbaya sana hata wabunge wetu huenda hawajaona mitego hiyo nao wao 300 plus wametumbukia kwenye mtego huo.

Hivi kuna ubaya gani kwenye huu mkataba wa Bandari;

1. Kuweka muda wa uwekezaji hata miaka 50 si ingepunguza kelele? Si mnaweka tu terms kuwa tukipata faida tarajiwa tutakuongezea mkataba?

2. Kuna Ubaya gani kutangaza makampuni mengine kuja kuwekeza kwenye bandari nyingine zilizobakia?

3. Kuna Ubaya gani wa kusema Serikali imesikia kelele za wananchi tunaenda kukaa chini na kuangalia upya Mkataba huo kuliko kuulazimisha upite hivi hivi?

Nini kinaweza kutokea katika hili?

Siasa ni Sayansi kama Sayansi zinazofanyikia maabara. Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita tumeona Mengi ndani ya CCM tuneona Membe akitangaza waziwazi kuwa atagombea 2020 pamoja na kwamba alikuwa akijua wazi kuwa Rais Magufuli kwa mujibu wa Tamaduni zetu alitakiwa awe mgombea pekee katika kipindi chake cha pili.

Haya yalifanyika Mwenyekiti akiwa Dr. Magufuli ambaye alikuwa anatisha kweli kweli ilifika mahala akaamua kusikiliza hadi simu za kina Makamba, Nape, Kinana na wengineo. Pamoja na kumfukuza Membe kwenye Chama bado CCM haikuwa na imani wakaamua kutengeneza Fomu moja tu ya kuomba ridhaa ya Chama na wakampatia JPM kwa mahesabu makali kama wanauziana Mirungi.

Je, katika Mazingira hayo tena katika Siasa za Sasa hawezi kutokea mtu mwenye huo ujasiri? Watamchafua Rais hadi itabidi wazee wa Chama wamwambie unajua kwa haya hutouzika hivyo unaonaje tukabadilisha Mgombea? Hili libaweza kutoka na katika kuhalalisha hilo mkakati ndio huu kumchomekea Vimeo kama hiki cha Bandari halafu wanakivujisha kwa wananchi ili Rais aonekane hana maana.

Wenye Mapenzi mema na Rais Samia wapime tu watagundua kuwa ndani ya miaka Miwili Rais Samia alikuwa anakwenda vizuri mno, alichora kabisa Ramani ya Taifa hili kwenye Uchumi na Demokrasia niluanza kuwaza ipo siku huyu mama angepata Tuzo ya Mo Ibrahimu lakini kuna watu wanahesabu Umri wao, wanahesabu umaarufu wao kwa sasa na wanahesabu watu walionyuma yao wanaona wakati wao ni sasa na kama wakipata nafasi 2025 wanatoboa Asubuhi kuwa Rais na washajipanga waziri Mkuu atakuwa nani nk.

Kule kwetu Uchagani huwa tunasema Mwikimbi hauliwi.

Ole Mushi
0712702602
FB_IMG_1686676809297.jpg
 
“Ukiwa unaongelea kibanzi kilichopo kwenye jicho la ndugu yako na wewe angalia boriti ulilo nalo katika jicho lako, Mheshimiwa Mbowe hata kusema tu kuwa ruzuku tumepata unafanya siri?, Mhe. Rais wewe unapeleka mkataba Bungeni wazi kabisa yeye hata ruzuku hasemi.

“Alisema hatupokei hatupokei lakini bilioni 2.9 ameziweka mfukoni hasemi kwamba ameanza kuzipokea, nani mwenye uwazi kati ya Samia Suluhu na Viongozi wengine, mambo madogo kama haya wanafanya siri wakipewa nchi si itakuwa hatari,” Makalla.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla akizungumza kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo lilifanyika kwenye uwanja wa Red Cross Bujora Kisesa Wilayani Magu mkoani Mwanza.
 
Mama apumzike, uwezo wake wa Urais ni mdogo sana! Sasa amejificha kwenye teuzi za kila siku!
Huwezi rais unakwenda kwenye maonyesho ya Dubai expo ( sabasaba) halafu unaingia mikataba ya " kimangungo"!
Amelikoroga , acha wanafiki na wachumia tumbo wampake mafuta kwa mgongo wa chupa,!
Tumeona pia sasa faida za Hayati Rais Magufuli kupiga marufuku safari za nje za hovyo hovyo!
Ona sasa " tumeuzwa" kwa Mwarabu !
 
Nilimpenda sana Obama Mwaka 2008 ALISEMA atakuwa tayari kuwasikiliza wanao mpinga kuliko wanao mshangilia.

MAMA YEYE ALIVYOKUWA FINYU.

Ameungana na wanaomshangilia
Tuna safari ndefu sana.
 
NI NJAMA ZA MAKUSUDI KUMWANGUSHA MH RAIS.

Na Thadei Ole Mushi

Kila mtu kwenye taifa hili kwa sasa anafanya press kupinga uwekezaji wa Bandari kuwa kama ulivyo na vifungu vyake kwenye MOU. Nimetafakari kwa muda nimegundua kuwa Rais anafanyiwa Hujuma kwa hesabu kali za urais 2025-2030

Kwa nini nasema hivyo?

Ninachokijua mimi Mafile yanayokwenda Mezani kwa Mh Rais ni mengi sana kwa Siku, kusoma yote neno kwa Neno si rahisi kama tunavyofikiria. Na Rais wa Nchi sio mtaalamu wa kila kitu useme anajua Sheria, anajua Mambo ya Afya au mambo mengine anaweza kuwa ni mtaalamu kwenye eneo moja tu mengine yote anasubiri wataalamu na washauri wake wamshauri na kumletea briefing ya nini kipo kwenye mamikataba na kwenye mafile mbalimbali. Tena wakati mwingine wataalamu na washauri hao wanakuja tayari wakiwa wamesha toa recomendations kwa Rais jambo fulani mahususi lifanyiwe kazi kwa utaratibu fulani.

Siku za karibuni Rais Samia aliwahi kushangaa hadharani kuhusu washauri na wataalamu wake kupitisha vifungu vya Sheria kwenye mikataba ambavyo vinaiangamiza nchi na alisema hadharani kuwa aliwapa watu wengine wakasoma ndio wakamwambia kuwa vifungu fulan havitakiwi kuwepo kwenye mkataba huo hii ni kabla ya haya ya Bandari….

Lakini tuna Historia ya Kesi zetu za Kibiashara huwa tunashindwa sana kwenye mahakama za kimataifa ndio maana hata mali zetu kama ndege huwa zinakamatwa hovyo hovyo nje ya nchi.

Historia ya Rais Samia kuwa Rais.

Historia Rasmi ya Rais Samia kuja kuliongoza taifa hili ilianzia mwaka 2015 pale ambapo aliyeteuliwa kugombea Urais Dr. Magufuli alipomchagua kuwa Mgombea Mwenza. Kabla ya Hapo si yeye tu hata watanzania wote hawakujua kwamba ipo Siku ndani ya Muda Mfupi ujao Taifa hili litaongozwa na Mwanamke. Katika hili ni Mungu pekee aliyekuwa anajua nini kitatokea toka alipoteuliwa kuwa Mgombea mwenza na huo tunasema ulikuwa mpango wa Mungu ulikuwa wala sio Mpango wa CCM.

Nimelazimika kufikiria hivi na kulisema hili kipindi hiki kwa sababu Mambo Mengine Rais anafanyiwa Makosa ya makusudi ili wamwangushe. Rais Samia anatakiwa afahamu kuwa anaketi nao mezani na kushauriana nao ni Moja ya Makada 38 waliotangaza nia 2015 kutaka kuliongoza taifa hili.

Rais Samia asifikiri ndoto hizi zao zimekufa ni dhahiri zipo na huenda kila tukio linalotokea kwenye Siasa na Uchumi lipo calculated kwenye kutaka madaraka ya juu sana ya Nchi hii. Hizi ni hesabu za watu sio rahisi kuziona na hata ukiziona sio rahisi kuzitambua hivyo kila hatua inayopigwa na Rais inatakiwa iwe imehakikiwa vizuri asije kukanyaga Shimo akatumbukia.

Waingereza huwa wana Msemo unaosema “give someone enough rope and he/She will hang himself/herself” kwa tafsiri isiyo Rasmi ni kwamba unapomuona mtu anafanya makosa mpe nafasi ya kutosha kuyafanya ili makosa yake yamwadhibu mwenyewe.

Kuna saa nilikuwa Simuelewi Humphrey Polepole alipokuwa anasema taifa hili lina wahuni huenda wahuni wenyewe ndio hawa wanaotega mitego yao. Kwa bahati mbaya sana hata wabunge wetu huenda hawajaona mitego hiyo nao wao 300 plus wametumbukia kwenye mtego huo.

Hivi kuna ubaya gani kwenye huu mkataba wa Bandari…

1. Kuweka muda wa ywekezaji hata miaka 50 si ingepunguza kelele? Si mnaweka tu terms kuwa tukipata faida tarajiwa tutakuongezea mkataba?

2. Kuna Ubaya gani kutangaza makampuni mengine kuja kuwekeza kwenye bandari nyingine zilizobakia?

3. Kuna Ubaya gani wa kusema Serikali imesikia kelele za wananchi tunaenda kukaa chini na kuangalia upya Mkataba huo kuliko kuulazimisha upite hivi hivi?

Nini kinaweza kutokea katika hili?

Siasa ni Sayansi kama Sayansi zinazofanyikia maabara. Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita tumeona Mengi ndani ya CCM tuneona Membe akitangaza waziwazi kuwa atagombea 2020 pamoja na kwamba alikuwa akijua wazi kuwa Rais Magufuli kwa mujibu wa Tamaduni zetu alitakiwa awe mgombea pekee katika kipindi chake cha pili. Haya yalifanyika Mwenyekiti akiwa Dr. Magufuli ambaye alikuwa anatisha kweli kweli ilifika mahala akaamua kusikiliza hadi simu za kina Makamba, Nape, Kinana na wengineo. Pamoja na kumfukuza Membe kwenye Chama bado CCM haikuwa na imani wakaamua kutengeneza Fomu moja tu ya kuomba ridhaa ya Chama na wakampatia JPM kwa mahesabu makali kama wanauziana Mirungi.

Je katika Mazingira hayo tena katika Siasa za Sasa hawezi kutokea mtu mwenye huo ujasiri? Watamchafua Rais hadi itabidi wazee wa Chama wamwambie unajua kwa haya hutouzika hivyo unaonaje tukabadilisha Mgombea? Hili libaweza kutoka na katika kuhalalisha hilo mkakati ndio huu kumchomekea Vimeo kama hiki cha Bandari halafu wanakivujisha kwa wananchi ili Rais aonekane hana maana.

Wenye Mapenzi mema na Rais Samia wapime tu watagundua kuwa Ndani ya miaka Miwili Rais Samia alikuwa anakwenda vizuri mno, alichora kabisa Ramani ya Taifa hili kwenye Uchumi na Demokrasia niluanza kuwaza ipo siku huyu mama angepata Tuzo ya Mo Ibrahimu lakini kuna watu wanahesabu Umri wao, wanahesabu umaarufu wao kwa sasa na wanahesabu watu walionyuma yao wanaona wakati wao ni sasa na kama wakipata nafasi 2025 wanatoboa Asubuhi kuwa Rais na washajipanga waziri Mkuu atakuwa nani nk….

Kule kwetu Uchagani huwa tunasema MWIKIMBI HAULIWI.

Ole Mushi
0712702602View attachment 2656425
Mama alipokewa na watu waliojifanya ni marafiki. Kumbe ni hatari kubwa. Aliowategemea na kufikiri watamsaidia ndio wanamuangusha.
Ilitakiwa ajipe muda kujua nani ni nani. Huku kwetu kuna watu wanafiki sana. Tena wanafikiria kuchukua mali za serikali kwa manufaa yao na vizazi vyao. Muda muafaka sasa wa kuamua kwa kuangalia uhalisia.
Kikulacho ki nguoni mwako.....
 
Acha porojo,

Sa100 alisafiri kwenda Dubei na kusaini mikataba hiyo.

Hayupo wa kuwajibishwa zaidi yake.

Katika hili, ametuudhi Watanzania.

Sa100 must go!!!
 
Back
Top Bottom