Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,191
- 114,292
Alijipanga kumsapraizi mwenzie acha asapraiziwe yeye 😂Naunga mkono hoja na siku ingine atajifunza kutoa taarifa kabla,dah utoto raha sana
Anakuja mjini bila taarifa yeye ni mvua, hata mvua siku hizi taarifa zinatolewa.