Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,758
- 50,179
KbsKila kitu na wakati wake.
Ukiwa shule Kuna namna unaona waliopo kitaa hawapo aggressive na 💸💸siku ww ukimaliza ukiingia kitaa .......naomba nsiendelee nshakua emoshno
KbsKila kitu na wakati wake.
Ndio hata huangalii wee ilimradi kitobo kipo sio shida zako sio mfyuuu. Mikosi / Nuksi nyingine mnajitafutia wenyewe.Hahaha.. Ungekua mwanaume ungeelewa...
Cry abeg 🤣😆😆Kbs
Ukiwa shule Kuna namna unaona waliopo kitaa hawapo aggressive na 💸💸siku ww ukimaliza ukiingia kitaa .......naomba nsiendelee nshakua emoshno
🤣🤣🤣🤣Nimeacha kuliaCry abeg 🤣😆😆
View attachment 2907995
Hutaelewa... hahahaNdio hata huangalii wee ilimradi kitobo kipo sio shida zako sio mfyuuu. Nuksi nyingine mnajitafutia wenyewe.
Bora uvookoka ♥️
mbona siliagi jamani😂😂.. Halafu sio wavivu basi tu Toka Mababu na mabibi zamani walikua wanaishi hivyo wamerithishanaMzee itakua anawapenda sana anahis mkiwa mtateseka sana...itakua nyie ni wavivu hamjazoea mazingira magumu 🤣🤣🤣si Hata ww mwenyewe unaona ulivo ukikerwa unalia
Zikija wee fumuaaaaaa🤣🤣🤣🤣!Hutaelewa... hahaha
🤣🤣🤣Shukuru unauhakika wa pakukojolea mkuu...🤨
Huyo mmoja nipe pasi nikusaidie kuokoa msalaWakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Ni watu wazima hao...Hivi inawezekanaje binti unatoka nyumbani unaenda kuishi nyumbani kwa kijana ambaye sio ndugu yako tena kwa siku nyingi hivyo..
Au wazazi wangu mimi sio wa nchi hii🤔🤔
Hapana, nimetulia...Zikija wee fumuaaaaaa🤣🤣🤣🤣!
Smart mpe ushauri mtoa mada seems haelewi achezaje karata zake na wote hataki kuwapoteza!
Amina mtoto mzuri!Hapana, nimetulia...
OukayNi watu wazima hao...
Ume zaliwa nje ya mfumo, life 1- u 0.🤣🤣🤣🤣Nimeacha kulia