Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Hakuna ujanja kwenye ku-cheat maana hata uwe mjanja kama dabolooseveni James Bond kuna siku utakamatwa tu. Nadhani bado ungali kijana. Miaka 10 - 20 mbele ya safari huko (kama utakuwa umeshajitambua) utakuja kukumbuka purukushani hizi za ujanani na kuishia kujisikitikia tu kwa muda na resources ulizopoteza...na kumshukuru Mungu kama utavuka bila UKIMWI, mikosi na mengineyo. Pole!
Kijiji bila wazee siyo Kijiji hiko. Umemshauri vema mkuu.

Nakusalimia mkuu,habari ya siku nyingi!!
 
Watakuja WANAFKI hapa kukupopoa.. na baadhi yao tyr washafika.

Sasa cha kufanya hapo ni kujitoa mhanga.

Ukubali nusu shari kuliko shari kamili.

Tafuta hela kias fulani, mpe huyo aliyekuja bila taarifa mwambie azuge lodge au gest kwa muda wa siku mbili tatu huku akitafuta ndugu zake walishio Dar ambao watakuwa na msaada wa kumuhifadhi bila tatizo.

Wewe singizia una ugeni wa mtu wako unaeheshimiana nae sana na amekosea kuja bila taarifa hivyo huna budi kufanya ulivyoplan.
 
Shukrani saana mkuu hii mbinu inaweza ikafanya kazi
 
Huu mstari haueleweki kwa kweli, sasa usipozini na mwanamke hamna shida, au kuna kuzini bila ya mwanamke?
Tendo la kujamiiana huhusisha watu wa jinsia mbili tofauti yaani Me na Ke, mwanaume afanyapo hilo tendo na mwanamke asiye mkewe huzini, na ndiyo maana ya huo mstari "aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
 
Mambo ya kawaidaa Sana hayo ujanani, achana na mizee ya kusema kuhusu uzinzi.

Tuliza akili , jumatano bado ni mbali sana, usiwe na wenge .

Fuata ushauri wa kuleta mgeni kama ndugu yako.

Next time mwambie huyo manzi suprise akawafanyie wazazi wake kijijini kwao.
 
Hivi inawezekanaje binti unatoka nyumbani unaenda kuishi nyumbani kwa kijana ambaye sio ndugu yako tena kwa siku nyingi hivyo..

Au wazazi wangu mimi sio wa nchi hii
Ujana una mambo mengi sana mkuu, muda mwingine unakuta wazazi wamejitahidi kumlea mtoto katika malezi na maadili mazuri, lakini mtoto anawaaibisha bila second thought.

Niamini mimi wazazi wa huyo binti wala hawatajua kama ameenda kukaa kwa mwanaume watoto wanajua sana kudanganya wazazi tuliopitia huko mpaka sasa tumekuwa wazazi hatuwezi shangaa kabisa. Hapo wazazi wasilaumiwe.
 
Back
Top Bottom