jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,479
- 11,489
Huyo demu ana utoto
Muulize kwani hao marafiki wamekufa au wapo,?? Akikujibu mfanye Spam dustbin.Niende moja kwa moja kwenye mada nasjisikia uchungu sana ingawa yalishapita.
Ipo hivi mwaka huu tarehe 26 january nilikutana na demu mmoja mkali sana anasoma IFM mimi nilikutana nae jengo la IT plaza , ila sasa hivi kashamaliza juzi chuo , alionyesha kunichangamkia basi na mimi nikajiongeza nikamuomba namba nikapewa bila shida kabisa...
Usidanganyike na comments. Kwanza tambua wanawake wote wanapenda kusifiwa kuwa waume zao wazuri au wanapesa au ni maarufu. Kwa hiyo kila mwanamke kwa kiasi maneno hayo humkaa. Ukitafuta asiyependa kusikiliza opinion za third part huyo hayupo.Niende moja kwa moja kwenye mada nasjisikia uchungu sana ingawa yalishapita.
Ipo hivi mwaka huu tarehe 26 january nilikutana na demu mmoja mkali sana anasoma IFM mimi nilikutana nae jengo la IT plaza , ila sasa hivi kashamaliza juzi chuo , alionyesha kunichangamkia basi na mimi nikajiongeza nikamuomba namba nikapewa bila shida kabisa.
Tukawa tunachati tuu fresh kabisa nikamwambia jambo langu kua nampenda akanikubalia basi banq mwezi wa 3 mwaka huu tukawa wapenzi Rasmi.
Mwezi wa 5 mwaka huu akaja geto nikaaa nae almost siku 5 badae akaondoka sikuona dalili za usailiti kabisa nikaendelea kunpenda mwezi wa sita akaniambia niende posta nikamsalimie kidume nikaenda na zawadi zangu demu akanipoke tuu vizuri.
Kumbe mimi sikushtuka alikua na wenzake na walikua wamejibana mahali mimi niko na demu baadae nikataka kuondoka demu akaniambia nikawasalimia marafiki zake nikaenda nikawasalimia nikawanunulia na wine na chakula hyo nikasepa na demu akanisindikiza nika reqest bolt nikasepa.
Siku 3 mbele nikaaanza kuona mabadiliko nikawa nakausha tuu from no where demu akaniambia tuachane nikamuambia kwa nn akaniambia nimeamua basi nikamuambia nimekubaliana na maamuzi yako penzi likafa rasmi..
Tokea mwezi wa sita demu akaanza kunitafuta mwezi huuwa kwamba eti turudiane anaomba msamaha anadai marafiki zake walimuambia siendani nae eti na blaha blah nyingi ila yeye ananipenda hapa ndo sijui nimjibu nini wakuu.
Nifanyeje wakuu demu ni mzuri haswa na mm bado nampenda ila tatizo nina mahusiano mengine.
Sio kweli! Sema sio woteMabinti wa IFM hawanaga akili! Sio wanawake wale... wamejawa na mashauzi, ushua wa kuigiza na ujuaji. Sio wao wala wanaume zao wa pale... siku hizi kimekuwa chuo cha wakuja. Enzi za washua kweli ilikuwa miaka kumi na tano iliyopita!
Tafuta wanawake wa Masters labda ndo utapata aliye serious na mwenye kujitambua hao undergraduate ni shida!
Acha kumdanganya.Hii iko na bongo mingi.Usidanganyike na comments. Kwanza tambua wanawake wote wanapenda kusifiwa kuwa waume zao wazuri au wanapesa au ni maarufu. Kwa hiyo kila mwanamke kwa kiasi maneno hayo humkaa. Ukitafuta asiyependa kusikiliza opinion za third part huyo hayupo.
Pili, mwanamke hatulii mpaka ameamua mwenyewe kutulia lakini mwanaume hatulii mpaka ametulizwa na mwanamke. Kwa hiyo kama huyo binti ameamua kutulia na wewe atatulia.
Usijinyime kitu roho yako inapenda, kama bado unampenda mchukue na mpige mimba kabisa.
Donatila nakupenda,njoo gheto tule donaHuyo Binti ni kigeugeu hajui anaochotaka...
Hakufai...