Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Niliongelea anaye taka kutongoza nilimpa easiest way ya kumaliza ugwadu..sijasema njia ya kutoa shahawa
Sasa ww mahela yote hayo na pesa ilivyokuwa ngumu huoni hiyo mbinu yako ni kwa ajili ya watu wachache
 
Hata tukikusaidia kutongoza ukaweza utafaidi wewe kama wewe na sio kwa maslahi mapana ya nchi.
 
Hili jibu tunasema limetokea kwenye marking scheme
 
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.

1.Lazima ujiamini
2.Lazima ujue kuchombeza
3.Lazima uwe nadhifu
4.Lazima uwe mchangamfu
5.Lazima ujue kupandanisha stori (ukianza stori moja hakikisha huimalizi, anza stori nyingine, demu asijue stori zinapandana)
6.Lazima uwe na ka-wallet kana noti za kuzugia (ku-boost confidence) kusudi ukiombwa hata juice sio unaanza kutoa mboni
Zingine ntaku-PM maana list ni ndefu sana
.
 
Hivi bado Kuna kutongoza?
Mi nilishasahau.
Natangaza lengo langu na pesa mbele.
Akigoma naendelea mbele!!
Hawa wanawake miaka sio wa kuumiza kichwa, mpe offer ya kitimoto na bia ushamaliza!!
Mkimaliza hapo anakuambia anaogopa kurudi kwake peke yake!!
Kama ni Muislamu au Msabato je..??? Na sio kila demu anakula kitimoto na kunywa bia
 
Mkuu kwamba unaanza kutoa mboni....
 
Kwa kuongezea tu asiwe amenyoa kiduku!hahaaa!
Madomo zege tuyateketeze yote kwenye nchi hii walah
 
Kama ni Muislamu au Msabato je..??? Na sio kila demu anakula kitimoto na kunywa bia
Mkuu mbuzi anakula majani wanayokula mbuzi wenzie.
Huwezi Anza kumpeleka mwanamke wa kiislamu kwenye kitimoto.
Kuna maeneo yao.
Kiufupi, tafuta hela. Pochi inaongea 98% ya mtongozo tuliokuwa tunautumia enzi za secondary.
 
Dada
mambo vip .........

Nimependa mwandiko wako.

kama hutojali nitaomba kukushikia kalamu wakati mwingine ukiwa unandika.
 
Wakuu mpo vizuri isee, inabidi nianze kutafuta maconfidence sema wengine sura zetu ngumu changamoto hiyo pia....unamsalimia demu hata salamu hakupi mpaka unaishiwa na pozi na kushindwa kuendelea hata na mada
Mwanaume UNATUMIAJE NENO.. KUISHIWA POZI?
KIPA KATOKA AU VIPI MWENZETU?
 
Hahaha kma nilikuwepo na sauti zao hahah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…