Daah! Bora ningesoma

Naweza kuattach file zangu za vyeti vya chuo hapa na wengi waliosoma hawajafika level yangu...
Lakini nimechagua kulima mpunga na nnaulima kweli kiasi kwamba nilipotspone post za ajira mara 2 na sijawahi kujuta...
Muombe mungu uzima na kama umeshindwa kabisa njoo ufanye kazi kwangu ukipata pa kuanzia utaondoka...
 
Weed ndo mambo yake hayo inaweza kutupeleka states kumbe upo umetulia zako Moro town.
 
Dunia ya sasa elimu sio dili kuna wana kibao wamesoma wapo kitaa hawajui kesho yao inakuwa vipi na mfumo wa elimu bongo ni mbovu mno
Mimi wadau niliosoma nao wote hawana shida ndogo ndogo na 90% wanaishi kupitia maarifa waliyoyapata shuleni, na nimeona waliojifanya kudharau elimu wakiwa vijana wanapambana watoto wao wapate elimu bora.
 
Aah mimi hizihizi zama bado kwangu elimu itabaki kuwa bora.....wanaoponda elimu unafiki wao nikwamba hizo elimu wanazo na zimewatoa.

Wanasema kitu chochote ni kibaya ukiwa nacho. nasema hiv kwa sababu nimekaa mtaani bila elimu miaka 6 nilikuwa naishi maisha ya kubahatisha sana na hapo nina kielimu changu cha form 6 bila hivyo ningekuwa bodaboda nakula vichwa anytime nipate mzinga nife au niwe kilema.
 
Mimi wadau niliosoma nao wote hawana shida ndogo ndogo na 90% wanaishi kupitia maarifa waliyoyapata shuleni, na nimeona waliojifanya kudharau elimu wakiwa vijana wanapambana watoto wao wapate elimu bora.
Humu ndani ukikaa vibaya kuna mambo ya kijinga utayabeba.

Upo africa unaponda elimu, bora uwe na cheti chako anytime mtu hata akikushika mkono unabebeka
 
Sawa nipo njiani nakuja
 
Wanaoponda elimu usikute wanalipa milions of money za ada kwa watoto wao.

Mtu aliyesoma hafu akawa mnafiki wa kupondea elimu na kizazi chake kawapeleka shule namwona ni katili mno kuliko samuya.
Kila binadamu anastahili elimu
Elimu inakutoa gizani
Wengi wanachanganya elimu na kufanikiwa kifedha, mtu asiye na elimu ni mjinga na ujinga wake anaujua mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…