The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,938
Asubuhi na mapema nakutana na huu ujumbe. Naomba kuuliza kama usingesoma na kupata kibarua ulichonacho sasahivi ungekuwa wapi na unafanya nini?
Au na wewe ungesema Bora ningesomaš
Au na wewe ungesema Bora ningesomaš