Naona binti mdogo, mama mtu mzima na mzee wa kizungu
Hahaha! Hao ndio wazuri kwa sifa za kuwa wake.Hawa wakisasa/kimjini ni pasua kichwa.Huyu mke wa Nasari yuko organic

MKE WA NASARI HATA KICHWANI YUPO VIZURI NI GRADUATE NA AMEFANYA KAZI NA NGO MOJA TA WAMAREKANI INAITWA AFRICAID KAMA MMOJA WA VIONGOZI KWA MUDA MREFU KWAHIYO USIFIKIRI NI WA KAWAIDA KIHIVYO KAMA YULE ALIYESEMA BUNGENU HEADPHONES ZIFUNGIWE KULETWA NCHINIMtu mjanja anaona mwanamke wa kawaida. Ndivyo alivyofanya nasari.
We andunje mgumba upo?Mrembo modo mwenzangu..
Tuma yako tuthibitishe we nimodoMrembo modo mwenzangu..
Unataka kuniharibia? pm zitajaa kama kawaida.😛😛😀😀We andunje mgumba upo?
Alafu nikithibitisha kuna tuzo.?Tuma yako tuthibitishe we nimodo
Povu linakutoka unashindwa kuelewa simple statement. Hapa imewekwa picha, watu wanajadili muonekano tu, wengi hawamjui. Nimesema kawaida kwasababu una kichwa kizito nakufafanulia KAWAIDA KIMUONEKANO.MKE WA NASARI HATA KICHWANI YUPO VIZURI NI GRADUATE NA AMEFANYA KAZI NA NGO MOJA TA WAMAREKANI INAITWA AFRICAID KAMA MMOJA WA VIONGOZI KWA MUDA MREFU KWAHIYO USIFIKIRI NI WA KAWAIDA KIHIVYO KAMA YULE ALIYESEMA BUNGENU HEADPHONES ZIFUNGIWE KULETWA NCHINI
ulitaka awe na miguu ya kihaya wakati ni mmeru? yani kuna watu mna ukabilaaa embu weka picha yako na kabila lako tukuoneKana miguu ya kimeruu
Msambwanda wa maana unaning'ia huko kama tumbo la bata !demu wa hivyo akijamba hamumsikiia maana exhause iko mbaliDuh! Anayejambia mbali? Ndio wa vipi huyo mkuu?