Daaaah Nassari ana mke mzuri

Daaaah Nassari ana mke mzuri

Huyo mbona kama vile mwenye matege?..au labda macho yangu yananiongopea
 
We ulijuaje kama ni mzuri?
Kwani uzuri wa mwanamke uko wapi haswa.

We sema unamuona mzuri
 
6c07d0fb17eb4433f3c724d760fe9658.jpg
86eb889891dfac3916edda1163e2bd40.jpg
Mtu mjanja anaona mwanamke wa kawaida. Ndivyo alivyofanya nasari.
 
sampuli ya kichagga .....akivaaa kimini utaona njiti za kiberiti badala ya miguu
 
Back
Top Bottom