Daaaah Nassari ana mke mzuri

Wakawaida saanaa
Ofcourse Tanzania wanawake wazuri ni wa kawaida bwana kwa kuwa in general watanzania ni wazuri na hakuna comparison ya mzuri kwa mbaya bali nani mxuri zaidi kwa majority ya wabongo !shida tu hizi ndio unaona wengine hawavutii!
 
ulitaka awe na miguu ya kihaya wakati ni mmeru? yani kuna watu mna ukabilaaa embu weka picha yako na kabila lako tukuone
Tumewekewa picha tumjadili mtu..tunamjadili wengine hamtaki.
 
Povu linakutoka unashindwa kuelewa simple statement. Hapa imewekwa picha, watu wanajadili muonekano tu, wengi hawamjui. Nimesema kawaida kwasababu una kichwa kizito nakufafanulia KAWAIDA KIMUONEKANO.
WEWE UZURI WA MKE NI MUONEKANO TU NDIO PICHA YAKO UMEWEKA YA POGBA!! NINGEPENDA KUMUONA MKE WAKO!!! UTAKUWA NA SHIDA SANA KICHWANI NA KATIKA SUALA ZIMA LA UCHAGUZI
 
WEWE UZURI WA MKE NI MUONEKANO TU NDIO PICHA YAKO UMEWEKA YA POGBA!! NINGEPENDA KUMUONA MKE WAKO!!! UTAKUWA NA SHIDA SANA KICHWANI NA KATIKA SUALA ZIMA LA UCHAGUZI
Bwana mdogo jifunze kuelewa context. Hapa imewekwa picha. Watu wanajadili muonekano. Uwezo wake kichwani anaujua mume wake na wewe sijui nani yake.
 
dah! kweli tunatofautiana kimtazamo!!


Huyu wa Lissu ndo wanayewezana maana Lissu anaonekana kama ana ubabe Fulani, sasa huyu wife wake anavyoonekana ubabe mtindo mmoja.

Huyo wa Nassari ngoja nimalizie hii mihogo nitarudi tena.
 
Ivi naanzaje kuwa na mwanamke mwenye mwili ka tembo sijui msambwanda? Flat screen tam balaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom