Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe.
Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa.
Ili kundi kuna siku tukija kushtuka familia za wao nazo zitatekwa.
D9 ndio itakuwa machinjio ya kujuana kila aina ya rangi.