D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Nimeanza tu kusoma hii story mwanzoni naomba kukusahihisha mkuu. Scofield hakumchagua Sucre kwajili ya mpango wa kuingia Mexico, infact hakumchagua kwa lolote maana hakumjua kabla hajaingia fox river, alilazimika kumuingiza kwenye plan yake kwasababu tu alikuwa cell mate wake na asingeweza ku maneuver kile choo bila kumshirikisha.
 
Noted.. Shukrani
 
Ubarikiwe mkuuu
 
Jamaa noma sana ila sijaelewa kwann aliwaambia mabawa yashushwe kwenye nyuzi 15... Lengo lilikuwa ni nn hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…