Cynthia Masasi: Basi sawaaa...!!!

Cynthia Masasi: Basi sawaaa...!!!

Status
Not open for further replies.
Unaguna nini?
Cynthia amejaaliwa uzuri kuliko female celebrities wote wa kibongo. Bisha?
Go Cindy!
kwangu huyu no. 1
sha11.gif

we3.gif
 
H on Earth; una maanisha huyu anacheza zile movie za hatari kama slim au big ass porn movies!? Zile zinazotumwa mitandaoni? Sababu ni nini hasa uhuni uliopitiliza au usuperstar au umaskini?

yeah that one.......sababu za kufanya sizijui wallahi

labda ndo kutafuta pesa....mie kuna moja nimemuona anacheza yuko naked
 
nipe tiGo bana...!:shut-mouth:


Baada ya Airtel, Zain, na Voda kulalamikia bunge la JF kwanini hawapati majina ya mtaani ili wapande chati, wanazi wamerudisha neno la zamani la "Mk.un.du" na kuachana na Tigo kwani hawalipwi fidia.
 
Aisee watu tunatofautiana sana, mimi huwa sina ujinga wa kusifia binadamu mwingine!
 
Social smart?! Huyu si ndo yule alijirekodi video anamtukana mange kama mwendawazimu? Tena anarekodiwa na mwanae? Ama nimechanganya?
Cindy she is normal ,ila kwenye picha mzuri zaidi.
Yani Kwa macho bila make up ni wakawaida sana.. Then she is sexxxy,classy, hustler vibaya munoo..and she is also a social smart too! I like her.
 
Social smart?! Huyu si ndo yule alijirekodi video anamtukana mange kama mwendawazimu? Tena anarekodiwa na mwanae? Ama nimechanganya?

Wewe inabidi upigwe bonge la mbata kwenye hilo bichwa lako ili ubongo wako urudi mahali pake.

Unayemzungumzia wewe ni Linda. Huyu binti wa Kisukuma hajawahi kufanya hivyo.
 
Social smart?! Huyu si ndo yule alijirekodi video anamtukana mange kama mwendawazimu? Tena anarekodiwa na mwanae? Ama nimechanganya?
no we umemix Linda na Cinthia! Linda bedzeudnut ni mama mmoja very beautfull..hustler..funny to be around with ila akili zake anazijua yeye mwenyewe!ni kada wa chadema sijuwi mwnyekiti Atlanta!!
ila Linda mzuri jamani kuliko mange hata cynthia! ni mmama ila mzuri sana!
Cythia alikaa states for years...worked as video queen na superstars wakafanya yao wakaenda Bongo na washaoana kwa harusi njema ya ndege lol!
mgoogle.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom